Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna mchezaji anayeitwa Fransisco Zola, nyie mnasikiliza sana stori za vijiweni na haka katimu kenu.

GIANFRANCO ZOLA.
eboh
Huyo ni Mwanaume kati ya vidume, we baki huko na vitimu vya EUROPA uendelee kuteseka hadi utapojua kucheza na wanaume UEFA.
 
Na mna bahati mmesajili kabla ya final.. La sivyo, yule Werner na Ziyech wangegoma wale
Hakuna kitu kama hicho. Mechi moja haiwez kuvuruga usajili wa team
Kaskilize interview za werner na ziyech then ndio utaelewa

Kupoteza fainal sio sababu ya wewe kukosa wachezaji ni jins project yako ilivyo tu ya jins unavyosuka team na unavyo washawishi wachezaji wasign kwako
Ingekuwa top 4 hapo sawa baadhi ya player usingewapata

hakuna mtu ambae hajui chelsea hii ni mbovu na inahitaj mashine zingine
 
Niko tangu enzi za kina Fransisco Zola lakini si utopolo wa sasa hivi wa Chelsea tofauti na kujikalia home au mtaani na kusikilizia matokeo tu maana bado haijafikia kiwango bora kwa jinsi inavyotakiwa timu ya ushindani.
Mkuu wewe hujui chochote naona unalialia tu. Ni kheri ungekaa kimya kuliko unavyo endelea kutuaibisha.
 
Umesahau ya Jorginho Emirates????
Sawa lakini hii ya leo refa amezidi
IMG_15963108718194604.jpeg
 
Sio mbaya jipangeni mechi na Bayern mnaweza mkapindua meza.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda wapindue meza ya mama ntilie
 
Nyie cheltako mmekimbia jukwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Kwa maoni yangu Refa kawabeba Arsenal sana
Kovacic alifanyiwa rafu halafu yeye ndio anaadhibiwa
Pedro kafanyiwa rafu eneo la penalti refa akapeta
Martinez kadakia nje ya eneo lake refa kapeta

Upande wa pili Chelsea na Arsenal wamecheza hovyo
Chelsea walicheza kama dakiak 20 za mwanzo ile kandanda yao waliofunzwa na kocha baada ya hapo wakaanza uchovu mwingi japo waliendelea kumiliki mpira zaidi ya Arsenal

Hata hivyo hayo yamepita tugange yajayo ambayo yanapendeza zaidi

Azpi alipoumia na Pulisic na Kovacic kutolewa nilitegemea Arsenal wangetumia hiyo fursa kuongeza mabao lakini na wao wamechoka kama Chelsea
Naona hii msongamano wa mechi imewaadhjiri sana wachezaji

Hongera sana Pedro umekufa kiume ukitetea timu kusawazisha japo unaondoka Chelsea. Mungu akuponye haraka
 
Nenda kwenye uzi wako huku mabwana zako wameshalala husiwe unakipitisha bure
 
Pulisic alipopata injury tu nikajua tayar hapa tunafungwa hakuna mchezaj mwingine anayeweza tumia juhudi binafsi kuwatoka mabeki

Tugange yajayo
Board imalizie usajili wa kai then tuanze kutafuta beki mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom