Usije ukakimbia jukwaa mkuu maana hukawii kujiteka.Wale panya ni wetu hapana pa kutokea..
Angalia ukoooUsije ukakimbia jukwaa mkuu maana hukawii kujiteka.
GGMU
na wewe unashabikia hii timu yenye mchezaji anayeitwa muoka mikate?Depal nisipokuona hapa sijui utaniambia ulikuwa wapi?
WeeeDepal nisipokuona hapa sijui utaniambia ulikuwa wapi?
Mamayeeee bado tu unandoto za kutarajiaNdio tunatarajia.
Uje uchukue jezi ya pulisicDrone Camera nakusabahi. Karibu chamani kwetu maana leo huko kwenu mtakaaa [emoji38]
Yaani wachezaji wa arse8 wako 8 kwenye box na bado wamezidiwa maarifa na wachezaji watatu wa chelsea1st goal. Pulisic
View attachment 1524067
Mechi ya Chelsea na Arsenal Fainali FA, nadhani yafuatayo yatatokea:
1. Arsenal itachukua kombe.
2. Mojawapo au zaidi ya yafuatayo yatatokea: (a) Arsenal itapewa penati. (b) Goli la Chelsea litakataliwa. ✔
Bora yako,Nipo babe
Yan naona uvivu kwenda kucheck game 😣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1st half tumeanza vizuri, tumeimaliza hoi. Kama KANTE yuko fit aingie Jognho apumzike.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]Nimecheka sana mkuu[emoji23][emoji23]View attachment 1523046