Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shida iko wapi hapo? Kwa hiyo hata Arsenal waliingia wakijua wanaenda kushinda?
sasa ndio muda wa kwenda kule katika nyuzi zote ulizodanga kutangaza kuwa ngao ya hisani itawakutanisha CHELTAKOs na LIVERPOOL kabla hatujachukua maamuzi magumu kwa kosa lako la kudanganya umma
 
Mkuu ile mechi ya Baku tuliwafunga kihalali sisi hatujawahi kubebwa na ndio maana hamkua na sababu ya kulalamika lakini kilichotokea jana ni utumbo though siwezi kataa mlicheza vizuri lakini yale mahaba ya refa kwenu yalichangia kufifisha juhudi za wachezaji wetu. Mchezaji wenu akiguswa kidogo mpira ushawekwa lakini mchezaji wetu anaparamiwa kabisa mpira unaendelea tu.

Sema safi tu ndio mpira. Hongereni kwa ushindi.
pale BAKU mlibebwa na CECH na game zote mbili za ligi mlibebwa na refa,mkuki kwa nguruwe hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkuu ile mechi ya Baku tuliwafunga kihalali sisi hatujawahi kubebwa na ndio maana hamkua na sababu ya kulalamika lakini kilichotokea jana ni utumbo though siwezi kataa mlicheza vizuri lakini yale mahaba ya refa kwenu yalichangia kufifisha juhudi za wachezaji wetu. Mchezaji wenu akiguswa kidogo mpira ushawekwa lakini mchezaji wetu anaparamiwa kabisa mpira unaendelea tu.

Sema safi tu ndio mpira. Hongereni kwa ushindi.
Hebu sema wapi mchezaji wenu aliparamiwa na ikapita kama ilivyo?
 
Nawakumbusha tu!

Mjiandae kurudiana na The Bavarians (Bayern Munchen)

Lewando na Müller kwa pamoja wameshatuma condolences zao kwa Chelshit kuelekea kwenye 2nd leg ndani ya ghetto la wahuni wa kijerumani, Allianz Arena.

Wamesema score body wanaifuta, hawaingii na aggregate scores. Wao wanaanza kuhesabu upyaaa!!![emoji28]
Hiyo ya Bavarian wala haiko kwenye hesabu zetu, tutaenda kukamilisha ratiba na focus yetu ni kufanya mauaji next season. Kwanza huyo Auba tukitaka tunamchukua kama tulivyomkosakosa Januari,
 
Lzm nibishe mkuu from kauli yako kipa yupo nje afu anadaka mpira ndani ya 18
Hebu elewa nilichoandika. Mpira ndiyo hautakiwi kua nje siyo mwili au mikono. Ndiyo maana hata kipa anaweza kuudaka mpira huku mwili ukiwa nje ya uwanja.

Kwa unavyojua wewe hichi unacholalamikia kingekua kweli refa angeweka nini?
 
Hiyo ya Bavarian wala haiko kwenye hesabu zetu, tutaenda kukamilisha ratiba na focus yetu ni kufanya mauaji next season. Kwanza huyo Auba tukitaka tunamchukua kama tulivyomkosakosa Januari,
lembu kaka hahahahaha hasira zenu mnataka kumaliza kwa AUBA?kwani yeye kakwambia kuwa anataka kuchezea timu ndogo?
 
Hiyo ya Bavarian wala haiko kwenye hesabu zetu, tutaenda kukamilisha ratiba na focus yetu ni kufanya mauaji next season. Kwanza huyo Auba tukitaka tunamchukua kama tulivyomkosakosa Januari,
Mnamtaka Auba? Hahahah Werner hajacheza na mshajua kua ni kiazi?
 
Sasa Mzee hyo si faulo dhahiri na akapewa kovacic kadi ....unahitaji video ya nn?
We umeangalia mechi?

Unajua Kovacic aliupelekaje mguu?

Bwana kama haujaangalia mechi tusisumbuane mzee
 
hamna lolote nyie kwani kadi nyekundu ilitolewa dakika ya ngapi?muda wote mliocheza kamili kwa nini msishinde?mlikuwa hamna uwezo wowote msijidanganye,
kumbuka ile game yetu ya ligi ambayo Luiz alipewa red alipewa dakika ya ngapi? na mbona tulicheza pungufu na tuliwahenyesha tu,nyie ni kelele nyingi tu hamna lolote na Martinelli angecheza mngekula mkono kabisa
 
Narudia kusema uwe mshabiki wa Ars8 au wa timu nyingine na unashabikia ushindi wa jana wa Arse8 huo ni upumbavu kwa sababu uchavu alioufanya jana Antony Taylor ni uhalifu wa kimataifa kwenye mpira au kwa jina lingine ni Ugaidi kwenye mpira
katika faulu kama 10 Chelsea alizofanya kama nusu hivi ni uonevu mtupu. Katika yellow card 6 Chelsea alizopewa kama 2 tu zilikuwa fair zingine uonevu ikiwemo yellow ya pili ya Kovacic, Mount na Azpilicueta including uamuzi wa penalti ni wa kupewa sadaka ya Iddi. Foolish refering in EPL

Wapumbavu tu ndio watashangalia ushindi wa leo pamoja na kubebwa waziwazi kama vile tuko bongo
alisikika chizi mmoja akibwabwaja baada ya hasira ya kugongewa nyagi

bwahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabwwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Narudia kusema uwe mshabiki wa Ars8 au wa timu nyingine na unashabikia ushindi wa jana wa Arse8 huo ni upumbavu kwa sababu uchavu alioufanya jana Antony Taylor ni uhalifu wa kimataifa kwenye mpira au kwa jina lingine ni Ugaidi kwenye mpira
katika faulu kama 10 Chelsea alizofanya kama nusu hivi ni uonevu mtupu. Katika yellow card 6 Chelsea alizopewa kama 2 tu zilikuwa fair zingine uonevu ikiwemo yellow ya pili ya Kovacic, Mount na Azpilicueta including uamuzi wa penalti ni wa kupewa sadaka ya Iddi. Foolish refering in EPL

kaa utulie ulieeeeeeeeeee kwanza upunguze machungu kisha pata maji safi unawe uso uondoe hilo tongotongo la wenge kisha kesho kutwa uanze kuingia humu maana unajiaibisha tu,yule Ollachuga Oc munamdharau lakini ana hekima sana maana yeye anaenda kunywa mipombe huko stress zikiisha siku ya 3 utamuona hapa kwani anaogopa aibu kama hizi....
CHELMATAKO wote kwa pamoja semeni LONDON IS RED
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom