joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,399
- 41,520
Eti mmempunzisha Willian kwa ajili ya mechi ya Bayern .......🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤣 hampo serious.
Jayanti juzi kala gwalaGiant team siku zote awapendwi.
Sijawahi kushauriwa na mtu.!!Mlaumu aliyelishauri kushabikia hii timu.
Sijawahi kushauriwa na mtu.!!
Muda bado chochote kinaweza kutokea.Tunaruhusiwa kuanza kutoa salamu za rambi rambi ama muda bado
Akipigwagwa huwa hajitokezi baada ya siku 3 ndo anaibukia kwanza majukwaa mengine
Tunaruhusiwa kuanza kutoa salamu za rambi rambi ama muda bado
Willian ni injuryEti mmempunzisha Willian kwa ajili ya mechi ya Bayern .......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] hampo serious.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti mmempunzisha Willian kwa ajili ya mechi ya Bayern .......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] hampo serious.
OkWillian ni injury
Sio kwa Chelsea hiiMuda bado chochote kinaweza kutokea.
Kama uliweka na mkeka basi unapiga mruzi tu Saiv.Mechi ya Chelsea na Arsenal Fainali FA, nadhani yafuatayo yatatokea:
1. Arsenal itachukua kombe.
2. Mojawapo au zaidi ya yafuatayo yatatokea: (a) Arsenal itapewa penati. (b) Goli la Chelsea litakataliwa.