DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Sasa Juventus alishuka kwa uwezo mdogo au alishuka kwa adhabu[emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana tunawaitaga watoto maana hujui hata kuwa Juve alipigwa adhabu kwa skendo ya kupanga matokeo na Chelsea walikuwa wanashukashuka kwasababu haikustahili kuwa premier[emoji23][emoji23]kiufupi tu ilikuwa kama westbromwich albion au brentford[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kushuka daraja siyo kigezo cha timu ndogo. Ie Juventus. Msikaze vichwa kaka yenu anawaramba leo kuthibitisha ukubwa zaidi