Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nia tunayo, sababu tunayo na nguvu tunayo.

LONDON IS BLUE FOREVER

WE'RE THE BEST

BELIEVE THAT

PULISIC......GIROUD......MOUNT

ALONSO...KOVACIC...KANTE.....JAMES

RUDGER.....ZOUMA........AZIPUCUETA

....................CABALLERO......................

SUB:-

Willan
Odoi
Abraham
Keppa
Joginho
RLC
Barkely
Ermason
Mkuu inaandikwa Azpilicueta
 
Eti Giroud ndio straika. Leo huo uchafu wenu ukipata goli sishabikii tena mpira.

Takataka tupu!!
 
hahahahahahahaaaaa mnachekeshaga sana humu yan,timu ndogo ni timu ndogo tu
 
Yani hii Chelsea bana Hahahaha kila kocha anayekuja lazima abebege kombe ..hahah what a Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]

#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
wakati sisi tuliiona takataka tukatafuta pa kudampo jamaa wakaona lulu dah wanachekesha sana
Haha kila mchezaji aliyetokaga arsenal akaja Chelsea alibeba makombe ..tuanze na

Ashley Cole..hahaha
Akaja Fabregas..hahaha
Benayoun...hahaha
Giroud...hahaha

Halafu kitu amjajua Giroud ananyota ya makombe na fainal sana..

Lacazzete ataendelea kuburuzwa timu ya taifa labda Oliver astaafu ndo ataweza kuitwa ata akakae benchi..

Kiufupi hii Arsenal huwa inatupa wachezaji ambao huja kuleta na kubeba makombe...

Hahaha #CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Eti Giroud ndio straika. Leo huo uchafu wenu ukipata goli sishabikii tena mpira.

Takataka tupu!!
Giroud alihusika na magoli matatu kati ya 4 tulizowabugiza pale Baku Olympic Stadium tarehe 29 May 2019. Ilitakiwa ungeanza kuacha kushabikia huo uchafu wenu wa kila mtu anajipigia hapo tangu tarehe hiyo
 
Haha kila mchezaji aliyetokaga arsenal akaja Chelsea alibeba makombe ..tuanze na

Ashley Cole..hahaha
Akaja Fabregas..hahaha
Benayoun...hahaha
Giroud...hahaha

Halafu kitu amjajua Giroud ananyota ya makombe na fainal sana..

Lacazzete ataendelea kuburuzwa timu ya taifa labda Oliver astaafu ndo ataweza kuitwa ata akakae benchi..

Kiufupi hii Arsenal huwa inatupa wachezaji ambao huja kuleta na kubeba makombe...

Hahaha #CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Yossi Benayoun alitokea Liver akaenda Chelsea, baadae alipelekwa Arsenal kwa mkopo.
 
Kuna watu wanaobeza skills na uwezo wa Kai Havertz, njia rahisi kwako nenda youtube angalia video na comments za watu. Mashabiki wengi hawawezi kuwa waongo hata kidogo. Ukute katika 100 99 wanamsifia wewe nani ambaye hata hujamuona akicheza
 
Niliyoona mahali (updated 2019)
Facebook
Arsenal-37.9 mil
Chelsea-47.8 mil

Instagram
Arsenal- 13.5 mil
Chelsea-15.3 mil

Twitter
Arsenal-14.1 mil
Chelsea-12.5 mil

Shirt sales
Arsenal-1125000 (2016)
Chelsea-1650000(2016)

Shirt sponsor deals
Arsenal- €30 mil a year
Chelsea-€40 mil a year

Average match attendance
Arsenal-59295/60432
Chelsea-41425

Worldwide fans
Arsenal-125 mil
Chelsea-145 mil

Revenue
Arsenal-€426 mil
Chelsea-€374 mil

Club value
Arsenal-€1.169 bil
Chelsea-€1.563 bil
Hawa jamaa tumeshawapiga kata funua kitambo wamebaki kujidaia historia.
 
Ebu tuambieni, mchezaji gani wa kawaida anaweza kufunga goli kama hilo for example
Kai Havertz Goal.gif
 
Kuan watu wanaobeza skills na uwezo wa Kai Havertz, njia rahisi kwako nenda youtube angalia video na comments za watu. Mashabiki wengi hawawezi kuwa waongo hata kidogo. Ukute katika 100 99 wanamsifia wewe nani ambaye hata hujamuona akicheza
Nimeona ni mzuri long shot kweli hatukua nae wakupiga shoti hizo, ila hajui kupiga chenga nakufunga kwa kichwa, wapunguze bei atatufa sana nimwepesi sio kama Tammy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom