Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haya nyie vihande anzeni kusali sala ya mwisho, machinjioni mshakaribia[emoji380][emoji380][emoji380]
 
Sasa timu imeshuka daraja mara 6 kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakwambia timu kubwa zinashuka daraja[emoji1616][emoji3][emoji1616]
Screenshot_20200731-225558.jpg
 
Mkuu unaleta porojo tu kama sayansi tuelezee inakuaje mpk Chelsea atashindwa Leo otherwise ni ramli tu

Kuthibitisha siyo ramli, nimeeleza pia moja au zaidi ya mambo mawili kutokea pia: Arsenal kupewa penati, Chelsea kukataliwa goli.
 
Inshu hapa siyo ramli... ni matarajio (forecast/prediction) vitu ambavyo ni sayansi kabisa. Kwa namna yeyote leo lazima Arsenal ashinde, kama nadharia inayosababisha kusema hivyo ina usahihi. Nadharia hiyo ilipotumika mechi ya Man U vs Leicester ilionyesha matokeo chanya. Tunaipima tena mechi hii.
Unaishi kwa kukarili hata mechi ya CFC vs Man u mlisema kuwa Chelsea atafungwa magoli mengi.pia kwenye mechi ya man cty na chelsea mlisema hivyohivyo lakini kilichokuja kutokea hata wewe hukuamini.kwa hiyo hata leo tarajia chelsea kufungwa
 
Tuwapige vingapi leo?
Jichagulieni mapema msijesema hatukuwaambia
#Coyg[emoji837]
 
Unaishi kwa kukarili hata mechi ya CFC vs Man u mlisema kuwa Chelsea atafungwa magoli mengi.pia kwenye mechi ya man cty na chelsea mlisema hivyohivyo lakini kilichokuja kutokea hata wewe hukuamini.kwa hiyo hata leo tarajia chelsea kufungwa

Ndio tunatarajia.
 
Uwepo kwa KANTE leo roho yangu imetulia.

Tulimfuta machozi babu SARI tukamwandikia historia ya kubeba kombe la kwanza.

LAMPARD leo tunakupa kombe la kwanza mbele ya makocha vijana EPL.
Utafuta kauli yako baada ya hii game.the gunner hawapo tayari kupoteza hii game
 
Uwepo kwa KANTE leo roho yangu imetulia.

Tulimfuta machozi babu SARI tukamwandikia historia ya kubeba kombe la kwanza.

LAMPARD leo tunakupa kombe la kwanza mbele ya makocha vijana EPL.
Mkuu, hata kocha aliyekaa miezi sita Chelsea alibeba kombe
Dimateo alifundisha kuanzia March hadi November 2012 akabeba UEFA na FA
1596273912457.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom