mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
mount ajifunze kuwa na accurate katika upigaji wake yani huwa anapiga kinyonge so inbd awe anapiga kwa uhakka ZaidZiyech, Mount na Kai Havertz wanacheza namba flexible za mbele kwa hiyo kuwaswitch kulingana na oponent ni kazi rahisi


