DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Huna mpira huo hayo ni maneno ya kinazi tu, unatunguliwa mchana kweupeeeeehMkuu Arsenal haniwazishi kabisa hata awe kwenye ubora gani. Lazima tulipe kisasi cha fainal ya FA mwaka 2017 walitupiga 2-1.
Arsenal ya kipindi kile ilikua moto na walifanya ili kuweka heshima kwa Wenger ndio alikua nakaribia kuachana na maswala ya mpira. Hii Arsenal ya sasa hata kesho anakufa mapema sana.