Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Angali kocha wao alivyo maskini, anategemea LFC au Chelsea waboronge ndio wao waingie top 4, poor MANURE

Solskjaer on the race for the top four
It is between us, Chelsea and Leicester for those last two positions, the more help we get from others the better, of course, but we know we must do our job on Wednesday.
1595223803412.png
 
Mkuu mimi nina imani kubwa na Lamps, hata kama ni goli najua atajitahidi hata tupate ushindi wowote ule. Hata kama wakitutoa ila shughuli yetu waipate bhana
Kwenye uefa sidhani kama tutafua dafu, wacha tupambanie tubaki top 3, maana uwakika wa kubeba FA tayari tunao..

Lazima tulipe kisasi cha 2017..
 
Angali kocha wao alivyo maskini, anategemea LFC au Chelsea waboronge ndio wao waingie top 4, poor MANURE

Solskjaer on the race for the top four
Ndo uwezo wao ulipoishia sasa wafanyaje? Kila mtu ashinde mechi zake..
 
Eti ndumu ya wapi hahahahaha[emoji23], mkuu wangu nilishawahi kusema kwamba ABRAHAM anapocheza uwanjani wachezaji wenzake wanavunjika moyo wanafahamu kabisa pale mbele hakuna finisher, pass na mipira itapotea bure.

Angalia Giroud akianza anapata mipira mingi sana wachezaji wenzake wanafahamu Giroud akipewa pass mbili tatu, moja anaweka kambani.
Tammy ataimarika tu no way out. Kwa sasa tubaki na Mzee wetu Giroud. Tammy anaweza pelekwa kwenye mkopo ili akajiimarishe maana kwa mtaji huu wa Giroud kuwa form akija Timo hata sub Tammy hatapata
 
Tammy ataimarika tu no way out. Kwa sasa tubaki na Mzee wetu Giroud. Tammy anaweza pelekwa kwenye mkopo ili akajiimarishe maana kwa mtaji huu wa Giroud kuwa form akija Timo hata sub Tammy hatapata
Giroud Ana uzoefu na tunahitaji watu wanamna hiyo kuliko hao vijana lapard lazima ajue hilo tunahitaji consistency sio kuibuka na kipotea tena tunahitaji furaha ya muendelezo plz atambue winning team
 
Nyie mlio karibu na Lampard muambieni apange hii hii timu kwenye mechi mbili za ligi zilizobaki

Na pia muwaambie hao wachezaji kuanzia kwa Zouma, Rudiger Azpi, James, Alonso, Kovacic, Jourginho, Mount, Giroud na Willian, wembe ni ule ule, pressing ni ile ile, defending ni ile ile mpaka kieleweke. Tunahitaji point sita ili tubaki no. 3
Sawa ntamwambia mkuu.

Hongereni sana Wanangu Blues kwa ushindi wa Jana...

Tusibweteke tuwe na Imani na tupeane Moyo tuendlee kutetea nafasi yetu ya 3 maana Manyumbu jana ndo wameelewa kwann tuko nafasi ile na wao kwann wako nafasi ya 5
 
Willian Adai Yuko Tayari Kusaini mktaba kesho
“Chelsea only offered me two years and I asked for three. My goal is the next contract to sign for three years. I haven’t had a deal with Chelsea yet.
"This is what I asked the club for, three years of contract. If you give me that, I’ll get the pen and sign the contract tomorrow.”
Malizia vizuri, kuna condition hapo kaiweka.
 
Mechi na Liverpool itaamua kama tutabaki top 4 au tutegemee mechi ya mwisho
Mpango mzima uko hivi
Scenario ya kwanza
Man U akishinda dhidi ya Westham atakuwa na pts 65
Tukidroo na Liverpool tutakuwa na pts 64
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya pili
Man U akishinda dhidi ya Westham atakuwa na pts 65
Tukamfunga Liverpool tutakuwa na pts 66
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya tatu
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukidroo na Liverpool tutakuwa na pts 64
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya nne

Scenario ya tano
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukafungwa na Liverpool tutakuwa na pts 63
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima tushinde ili tuwe na uhakika wa top 4 bila kujali matokeo ya LFC na MU
Scenario ya sita
Man U afungwe na Westham atakuwa na pts 62
Hata tukipoteza kwa liverpool bado tuna pts 63 juu ya MU na LFC
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U na LFC watwangane ili mmoja awe na uhakika wa top 4
Kwa kufanya hivyo sisi hata tufungwe tena na Wolves bado tupo, wakijifanya kutoa droo wakitegemea tutafungwa na Wolve halafu takadroo tu, Man U atakwenda na maji kwa sababu ya GD yake ndogo dhidi ya LFC

Scenario yeyote ya raundi ya 37 bado itainufaisha Chelsea kwa sababu mechi ya mwisho ndizo zitakazoamua nani kati ya Man U na LFC aingie top 4. Na hiyo mechi ya mwisho itawakutanisha wao wenyewe wachinjane kwa faida ya Chelsea
 
Mechi na Liverpool itaamua kama tutabaki top 4 au tutegemee mechi ya mwisho
Mpango mzima uko hivi
Scenario ya kwanza
Man U akishinda dhidi ya Westham atakuwa na pts 65
Tukidroo na Liverpool tutakuwa na pts 64
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya pili
Man U akishinda dhidi ya Westham atakuwa na pts 65
Tukamfunga Liverpool tutakuwa na pts 66
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya tatu
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukidroo na Liverpool tutakuwa na pts 64
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya nne
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukamfunga Liverpool tutakuwa na pts 66
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U ashinde au atafute droo ili awe na uhakika wa top 4
Kwa matokeo hayo tunapeta tu
Scenario ya tano
Man U atoe droo na Westham atakuwa na pts 63
Tukafungwa na Liverpool tutakuwa na pts 63
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima tushinde ili tuwe na uhakika wa top 4 bila kujali matokeo ya LFC na MU
Scenario ya sita
Man U afungwe na Westham atakuwa na pts 62Hata tukipoteza kwa liverpool bado tuna pts 63 juu ya MU na LFC
LFC tayari wana 62
Mechi ya mwisho lazima Man U na LFC watwangane ili mmoja awe na uhakika wa top 4
Kwa kufanya hivyo sisi hata tufungwe tena na Wolves bado tupo, wakijifanya kutoa droo wakitegemea tutafungwa na Wolve halafu takadroo tu, Man U atakwenda na maji kwa sababu ya GD yake ndogo dhidi ya LFC

Scenario yeyote ya raundi ya 37
bado itainufaisha Chelsea kwa sababu mechi ya mwisho ndizo zitakazoamua nani kati ya Man U na LFC aingie top 4. Na hiyo mechi ya mwisho itawakutanisha wao wenyewe wachinjane kwa faida ya Chelsea
Game ya jana LFC vs Spurs ndo imetubeba zaid, japo nilitaka LFC ashinde..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom