Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

BAADA YA MAN UNITED KUFUNGA MIDOMO YAO JANA, MUDA HUU TENA ARSENAL NAO WAMEANZA KUONGEA ONGEA SANA,HAYA ACHA TUSUBIRI TUONE. Isije ikatokea kama yaliyotokea BAKU ohooo haya. Am done here.

Hala Chelsea.
Ukweli ni kwamba Arteta ameibadilisha Arsenal
Arsenal hii sio ile ya kichwa cha mwenda wazimu
Arsenal wameimarika sana kwenye defense na mbele
Arsenal sio timu ya kuwabeza
Chelsea wakiendeleza wembe huu wa jana tutawalazimisha akina Luiz wafanye mistakes nyingi zitakazozaa magoli
 
Nilichogundua jana ukiweka mbali mfumo na mbinu za Lampard, kilichotupa ushindi ni quality ya mchezaji mmoja mmoja.

Hii quality ndio huwa tunaikosa kupelekea kufungwa, ule uchezaji wa jana ukiambiwa ni ile Chelsea dhaifu usingeamini kabisa.

MABEKI:- Angalia beki jana walivyojipanga, walivyokuwa organized, walivyokuwa wanacheza kwa kujituma na sio kukabia kwa macho.

ZOUMA:- pale katikati alihakikisha hakuna kinachokatiza. Matial mfukoni hakuwepo uwanjani

ALONSO:- nilichogundua huyu jamaa sio mchezaji wa kucheza mechi nyingi mfululizo, huwa akirudi mapumzikoni what a player.

JAMES:- Huyu jamaa userious wake jana umeniogopesha control ya hali ya juu, ana nguvu na hachoki kupanda. Rashfod mfukoni jana hakuwepo uwanjani

CAPTAIN:- What a performance

VIUNGO:- Bruno alikuwepo uwanjani? Yah nilimuona kwenye kupika penati.

KOVACIC:- Huyu ni mchezaji wa mechi kubwa, zile mechi ndogo ndogo tuwe tunampumzisha asikidhalilishe kiwango chake kikubwa. Jana what a perfomance, alicharuka sana pale katikati pakawa moto

JOGINHO:- Jana umeninyamazisha uvivu na uzembe haukuwepo huyu ndio Jognho tunayemtaka Chelsea, kasi kwenye kukaba na kupora mipira, pass za haraka. Kiufupi alikamata katikati, Matic alikuwepo?

FORWARD:- Hapa sasa ndio ushindi ulikuwepo (MOUNT, GIROUD, WILLAN), kazi ya kwanza ilikuwa kukabia kuhakikisha manyumbu hawaanzishi mashambulizi kutokea nyuma, walihakikisha mabeki wanajichanganya kuanzisha mpira, wanafanya makosa na kiwaadhibu kwa makosa yao.

LAMPARD:- Nilivyomsoma jana mechi alishaimaliza uwanja wa mazoezi. Jana ilikuwa wachezaji kutekeleza maelekezo yake. Hongera Lampard.

Nimemuongelea mchezaji mmoja mmoja kwa sababu jana kila mchezaji ameonyesha quality ya hali ya juu. Kila mchezaji alionekana nini anatakiwa akifanye uwanjani.

Changamoto iliyobaki sasa ni Kuipata tena ile quality ya wachezaji jana kwa mechi zilizobaki.

SUB:- LFC alipaform vizuri sana alitoa pass kwa haraka na kuhakikisha mashambulizi yanaendelea kupamba moto.

ODOI & PEDRO:- Safii walihakikisha mashambulizi hakuna kupoa mayumbu washindwe kupanda juu.

ABRAHAM:- Huyu alistahili abaki uwanja wa mazoezi aendelee na mazoezi binafsi.

HONGERENI SANA WANABLUES KWA KUTINGA FAINALI, POLENI KWA KELELE ZA MANYUMBU KABLA YA MECHI.
Hata mimi nawasifia sana RLC na Odoi pamoja na kusababisha penalti lakini Odoi akiwa na mpira yuko very sharp na powerful, kuna move moja alimuuza Maguire kama toto la dampo, Analysis yako KUDOS
 
Wewe mimi nina forward wa dunia Aubameyang, alafu uniwekee beki mzoga km Ruediger. unatafuta shida wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu msimu huu mechi zote tulizokutana ulikua na forward wa Manyema au Yeovil Town? Huyo forward wa dunia hakuwepo kwenye mechi zetu?
 
Ukweli ni kwamba Arteta ameibadilisha Arsenal
Arsenal hii sio ile ya kichwa cha mwenda wazimu
Arsenal wameimarika sana kwenye defense na mbele
Arsenal sio timu ya kuwabeza
Chelsea wakiendeleza wembe huu wa jana tutawalazimisha akina Luiz wafanye mistakes nyingi zitakazozaa magoli
Arsenal Hana ubavu wa kupata matokeo dhidi ya Chelsea kutokana na aina ya uchezaji wa Chelsea,sisi tukicheza mpira wa kigumu tuna kuwa untouchable game ya Jana Giroud aliwafanya mabeki wa man u wafanye makosa so man City hawana Aina ya striker mwenye nguvu ndio maana mabeki wa arsenal walienjoy game.
 
Naipenda Chelsea ikiingia kwenye mechi kama underdog kwa sababu itacheza vizuri
Mara nyingi Chelsea ikiingia kwenye mechi ikiwa na oponent weak ndio inafungwa
Mkuu hiki kitu unasema ni kweli kabisa. Mfano ile game na Liver ya Super cup tulicheza mpira mtamu sanajapo walishinda kwa penalty ila dakika 90 waliuona uwezo wa Lamps. Ikaja game na Man City tuliingia kama underdog tukaupiga mwingi mwisho tukapata matokeo.

Kuna kitu nakiona mechi ya Bayern sijui pengine tunaweza fanya chochote.
 
Hili kombe nachukua dk ya 30 tu, vibonde nyie tunajipigia mapema sn.
Mnyama Lacazette karudi form, huku nina Nico Pepe, Kule foward kali duniani Auba, nani wakutuzuia Utopolo nyie.Mlishindwa tukiwa nusu na watoto kina Martinelli mtaweza full mkoko.

Wewe na Man u hamnaga utofauti ukishinda mechi mbili tayari ubingwa mara upo kwenye form mara lacazeti, mara auba yupo kwenye form. Mpira siyo kama unavyofikiria ivo.

Pia unapoongea unatakiwa kukumbuka juzi tu nimekupiga nje ndani kwenye Ligi bila kusahau BAKU kwenye Uropa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa kati ya chelsea na Arsenal nani utopolo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yah ODOI sijamlaumu kabisa kusababisha ile penati, alirudi chini kukaba, kusaidia ulinzi shirikishi alikuwa na lengo nzuri kabisa. Ila ile bunduki ya Odoi iliyopaa ingeshuka chini kidogo De gea angedaka upepo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Siyo kwamba angeona mishale ikipita bila ya kufanya maamuzi yoyote
 
Nilichogundua jana ukiweka mbali mfumo na mbinu za Lampard, kilichotupa ushindi ni quality ya mchezaji mmoja mmoja.

Hii quality ndio huwa tunaikosa kupelekea kufungwa, ule uchezaji wa jana ukiambiwa ni ile Chelsea dhaifu usingeamini kabisa.

MABEKI:- Angalia beki jana walivyojipanga, walivyokuwa organized, walivyokuwa wanacheza kwa kujituma na sio kukabia kwa macho. Ule unaitwa ulinzi shirikishi.

ZOUMA:- pale katikati alihakikisha hakuna kinachokatiza. Matial mfukoni hakuwepo uwanjani

ALONSO:- nilichogundua huyu jamaa sio mchezaji wa kucheza mechi nyingi mfululizo, huwa akirudi mapumzikoni what a player.

JAMES:- Huyu jamaa userious wake jana umeniogopesha control ya hali ya juu, ana nguvu na hachoki kupanda. Rashfod mfukoni jana hakuwepo uwanjani

CAPTAIN:- What a performance

VIUNGO:- Bruno alikuwepo uwanjani? Yah nilimuona kwenye kupiga penati.

KOVACIC:- Huyu ni mchezaji wa mechi kubwa, zile mechi ndogo ndogo tuwe tunampumzisha asikidhalilishe kiwango chake kikubwa. Jana what a perfomance, alicharuka sana pale katikati pakawa moto

JOGINHO:- Jana umeninyamazisha uvivu na uzembe haukuwepo huyu ndio Jognho tunayemtaka Chelsea, kasi kwenye kukaba na kupora mipira, pass za haraka. Kiufupi alikamata katikati, Matic alikuwepo?

FORWARD:- Hapa sasa ndio ushindi ulikuwepo (MOUNT, GIROUD, WILLAN), kazi ya kwanza ilikuwa kukabia juu kuhakikisha manyumbu hawaanzishi mashambulizi kutokea nyuma, walihakikisha mabeki wanajichanganya kuanzisha mpira, wanafanya makosa na kuwaadhibu kwa makosa yao.

LAMPARD:- Nilivyomsoma jana mechi alishaimaliza uwanja wa mazoezi. Jana ilikuwa wachezaji kutekeleza maelekezo yake. Hongera Lampard.

Nimemuongelea mchezaji mmoja mmoja kwa sababu jana kila mchezaji ameonyesha quality ya hali ya juu. Kila mchezaji alionekana nini anatakiwa akifanye uwanjani.

Changamoto iliyobaki sasa ni Kuipata tena ile quality ya wachezaji jana kwa mechi zilizobaki.

SUB:- LFC alipaform vizuri sana alitoa pass kwa haraka na kuhakikisha mashambulizi yanaendelea kupamba moto.

ODOI & PEDRO:- Safii walihakikisha mashambulizi hakuna kupoa mayumbu washindwe kupanda juu.

ABRAHAM:- Huyu alistahili abaki uwanja wa mazoezi aendelee na mazoezi binafsi.

HONGERENI SANA WANABLUES KWA KUTINGA FAINALI, POLENI KWA KELELE ZA MANYUMBU KABLA YA MECHI.
Cash Money Forever Best analysis mzee naongezea hapo kwa Alonso niliwahi kukuambia Alonso ndio key wa mfumo wa 3-4-3 ndio mfumo ambao anakuwa kwenye ubora wa Hali ya juu so performance yake ijanishangaza cos najua kwenye huo mfumo lazima aperform.Mtu ambaye amenishangaza Ni James sikutegemea angeperform hivyo na ukizingatia alianza slow Sana after Corona kiasi ambacho alituboa wengi ila now Nampa 🖐. Kovacic what a performance jamaa Ni world class player tunawashukuru Sana Real Giroud amekuwa kwenye form ya juu Sana kila game lazima aweke.
 
CONFIRMED!!
Chelsea is the best London club in EPL for the season 2019/20
London is BLUE
1595221698559.png
 
Ukweli ni kwamba Arteta ameibadilisha Arsenal
Arsenal hii sio ile ya kichwa cha mwenda wazimu
Arsenal wameimarika sana kwenye defense na mbele
Arsenal sio timu ya kuwabeza
Chelsea wakiendeleza wembe huu wa jana tutawalazimisha akina Luiz wafanye mistakes nyingi zitakazozaa magoli
Mkuu Arsenal haniwazishi kabisa hata awe kwenye ubora gani. Lazima tulipe kisasi cha fainal ya FA mwaka 2017 walitupiga 2-1.

Arsenal ya kipindi kile ilikua moto na walifanya ili kuweka heshima kwa Wenger ndio alikua nakaribia kuachana na maswala ya mpira. Hii Arsenal ya sasa hata kesho anakufa mapema sana.
 
Nilichogundua jana ukiweka mbali mfumo na mbinu za Lampard, kilichotupa ushindi ni quality ya mchezaji mmoja mmoja.

Hii quality ndio huwa tunaikosa kupelekea kufungwa, ule uchezaji wa jana ukiambiwa ni ile Chelsea dhaifu usingeamini kabisa.

MABEKI:- Angalia beki jana walivyojipanga, walivyokuwa organized, walivyokuwa wanacheza kwa kujituma na sio kukabia kwa macho. Ule unaitwa ulinzi shirikishi.

ZOUMA:- pale katikati alihakikisha hakuna kinachokatiza. Matial mfukoni hakuwepo uwanjani

ALONSO:- nilichogundua huyu jamaa sio mchezaji wa kucheza mechi nyingi mfululizo, huwa akirudi mapumzikoni what a player.

JAMES:- Huyu jamaa userious wake jana umeniogopesha control ya hali ya juu, ana nguvu na hachoki kupanda. Rashfod mfukoni jana hakuwepo uwanjani

CAPTAIN:- What a performance

VIUNGO:- Bruno alikuwepo uwanjani? Yah nilimuona kwenye kupiga penati.

KOVACIC:- Huyu ni mchezaji wa mechi kubwa, zile mechi ndogo ndogo tuwe tunampumzisha asikidhalilishe kiwango chake kikubwa. Jana what a perfomance, alicharuka sana pale katikati pakawa moto

JOGINHO:- Jana umeninyamazisha uvivu na uzembe haukuwepo huyu ndio Jognho tunayemtaka Chelsea, kasi kwenye kukaba na kupora mipira, pass za haraka. Kiufupi alikamata katikati, Matic alikuwepo?

FORWARD:- Hapa sasa ndio ushindi ulikuwepo (MOUNT, GIROUD, WILLAN), kazi ya kwanza ilikuwa kukabia juu kuhakikisha manyumbu hawaanzishi mashambulizi kutokea nyuma, walihakikisha mabeki wanajichanganya kuanzisha mpira, wanafanya makosa na kuwaadhibu kwa makosa yao.

LAMPARD:- Nilivyomsoma jana mechi alishaimaliza uwanja wa mazoezi. Jana ilikuwa wachezaji kutekeleza maelekezo yake. Hongera Lampard.

Nimemuongelea mchezaji mmoja mmoja kwa sababu jana kila mchezaji ameonyesha quality ya hali ya juu. Kila mchezaji alionekana nini anatakiwa akifanye uwanjani.

Changamoto iliyobaki sasa ni Kuipata tena ile quality ya wachezaji jana kwa mechi zilizobaki.

SUB:- LFC alipaform vizuri sana alitoa pass kwa haraka na kuhakikisha mashambulizi yanaendelea kupamba moto.

ODOI & PEDRO:- Safii walihakikisha mashambulizi hakuna kupoa mayumbu washindwe kupanda juu.

ABRAHAM:- Huyu alistahili abaki uwanja wa mazoezi aendelee na mazoezi binafsi.

HONGERENI SANA WANABLUES KWA KUTINGA FAINALI, POLENI KWA KELELE ZA MANYUMBU KABLA YA MECHI.

Yaani zilikuwa nyingi mnoo. Adi tunakosa hata kunawa uso kisa tu fenandes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yah ODOI sijamlaumu kabisa kusababisha ile penati, alirudi chini kukaba, kusaidia ulinzi shirikishi alikuwa na lengo nzuri kabisa. Ila ile bunduki ya Odoi iliyopaa ingeshuka chini kidogo De gea angedaka upepo
Mtu ambaye simuelewi Ni Abraham sijui kwanini lazima achezeshwe hata Kama haitajiki kuchezeshwa.
 
Nilichogundua jana ukiweka mbali mfumo na mbinu za Lampard, kilichotupa ushindi ni quality ya mchezaji mmoja mmoja.

Hii quality ndio huwa tunaikosa kupelekea kufungwa, ule uchezaji wa jana ukiambiwa ni ile Chelsea dhaifu usingeamini kabisa.

MABEKI:- Angalia beki jana walivyojipanga, walivyokuwa organized, walivyokuwa wanacheza kwa kujituma na sio kukabia kwa macho. Ule unaitwa ulinzi shirikishi.

ZOUMA:- pale katikati alihakikisha hakuna kinachokatiza. Matial mfukoni hakuwepo uwanjani

ALONSO:- nilichogundua huyu jamaa sio mchezaji wa kucheza mechi nyingi mfululizo, huwa akirudi mapumzikoni what a player.

JAMES:- Huyu jamaa userious wake jana umeniogopesha control ya hali ya juu, ana nguvu na hachoki kupanda. Rashfod mfukoni jana hakuwepo uwanjani

CAPTAIN:- What a performance

VIUNGO:- Bruno alikuwepo uwanjani? Yah nilimuona kwenye kupiga penati.

KOVACIC:- Huyu ni mchezaji wa mechi kubwa, zile mechi ndogo ndogo tuwe tunampumzisha asikidhalilishe kiwango chake kikubwa. Jana what a perfomance, alicharuka sana pale katikati pakawa moto

JOGINHO:- Jana umeninyamazisha uvivu na uzembe haukuwepo huyu ndio Jognho tunayemtaka Chelsea, kasi kwenye kukaba na kupora mipira, pass za haraka. Kiufupi alikamata katikati, Matic alikuwepo?

FORWARD:- Hapa sasa ndio ushindi ulikuwepo (MOUNT, GIROUD, WILLAN), kazi ya kwanza ilikuwa kukabia juu kuhakikisha manyumbu hawaanzishi mashambulizi kutokea nyuma, walihakikisha mabeki wanajichanganya kuanzisha mpira, wanafanya makosa na kuwaadhibu kwa makosa yao.

LAMPARD:- Nilivyomsoma jana mechi alishaimaliza uwanja wa mazoezi. Jana ilikuwa wachezaji kutekeleza maelekezo yake. Hongera Lampard.

Nimemuongelea mchezaji mmoja mmoja kwa sababu jana kila mchezaji ameonyesha quality ya hali ya juu. Kila mchezaji alionekana nini anatakiwa akifanye uwanjani.

Changamoto iliyobaki sasa ni Kuipata tena ile quality ya wachezaji jana kwa mechi zilizobaki.

SUB:- LFC alipaform vizuri sana alitoa pass kwa haraka na kuhakikisha mashambulizi yanaendelea kupamba moto.

ODOI & PEDRO:- Safii walihakikisha mashambulizi hakuna kupoa mayumbu washindwe kupanda juu.

ABRAHAM:- Huyu alistahili abaki uwanja wa mazoezi aendelee na mazoezi binafsi.

HONGERENI SANA WANABLUES KWA KUTINGA FAINALI, POLENI KWA KELELE ZA MANYUMBU KABLA YA MECHI.
Mkuu umefanya analysisi vizuri sana. Wachezaji wote walijituma na aliyenifurahisha zaidi ukiachana na Kovacic ni James. Huyu dogo jana sijui alikula ndumu za wapi? Anapanda anavyotaka, stability ya hali ya juu kuzuia mashambulizi yan unaona kabisa muda wote yupo mchezoni. Reece atakuja kutengeneza linkage nzuri yeye na Ziyech.

Issue nyingine mimi sitaacha kumtetea Tammy, kama umeangalia kwa umakini dogo alikua hapewi pasi japo ana mistakes za kijinga ila siwa kusema aendelee kubaki Cobham.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom