Wewe na Olachuga mnachafua threads za sports.
Jaribuni kuangalia upya style zenu za kutaniana.
Inamaanisha hata Singida united itaichakata chelsii kimasihara ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1504044
Zipige deki basi
Hamjui tu jinsi mnavyokera wadau humu, halafu kwa nature ya posts ninazoziona kutoka kwako, ninatarajia usiwe wa hivi.
Anyway, mimi ni yangu hayo.
Ungejua tulipoanzia, ungejua kwanini nina react hivyo
You can do better.
Maboya sana hawa marefa
Vya mkwezi[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie cheltako Leo lazima mkalie cha mkwezi kwa Sheffield
Kwahiyo leo watapigwa 3 nunge? Mbona sijaelewaCome on sheffield united[emoji123][emoji123][emoji123]
Game gani unahisi United tutapoteza?Kuelekea mwisho wa msimu huwa ni patashika kwenye kutafuta top 4 na kutoshuka daraja, Man Utd na Leicester wako karibu ila na wao kuna games wataharibu.
Vyanzo vya siri havijakusanua kama leo utagegedwa 3bomba????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina vyanzo vya siri sana
Kwamba ligi imeisha.Prediction yangu hiyo hapo
Narudia tena ligi imeisha tuendelee na usajili
View attachment 1498184
Hahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sheffield ni moja kati ya timu zenye ukuta mgumu Uingereza.
Henderson leo anapigana juu chini aongeze idadi ya Clean Sheet
Game gani unahisi United tutapoteza?
Hizi people zinajua kutabiri.Prediction yangu hiyo hapo
Narudia tena ligi imeisha tuendelee na usajili
View attachment 1498184