Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Siku hizi majukwaa ya michezo yamekuwa na watu wa ajabu ajabu, matusi, kukosa staha na matani yanayovuka mipaka.
Too bad.
Too bad.
members waliongezeka siku za karibun ndo wanatukan sanaKabisa mkuu inakera sana, ule utani mzuri wa before Corona haupo tena, sasa hivi ni matusi kwa kwenda mbele.
Kuna jukwaa imebidi ni unsubscribe wanatukana ovyo.
Na kuna baadhi ya members hapa nimeamua kuwaignore nisione comment zao za ovyo na matusi.
Haya matusi yakiendelea hapa tutegemee kuona wadau wengi watapotezea hili jukwaa litapoteza mvuto.
Kabisa mkuu inakera sana, ule utani mzuri wa before Corona haupo tena, sasa hivi ni matusi kwa kwenda mbele.
Kuna jukwaa imebidi ni unsubscribe wanatukana ovyo.
Na kuna baadhi ya members hapa nimeamua kuwaignore nisione comment zao za ovyo na matusi.
Haya matusi yakiendelea hapa tutegemee kuona wadau wengi watalipotezea hili jukwaa mwisho wa siku litakosa mvuto.
Washaanza kutafuta sababu hawa'It's not fair': Solskjaer not pleased about Chelsea getting extra rest ahead of FA Cup semi-final
View attachment 1508612
Fake news haipo hii taarifa ...'It's not fair': Solskjaer not pleased about Chelsea getting extra rest ahead of FA Cup semi-final
View attachment 1508612
Hili swala linakatisha tamaa wengi kuchangia. Mtu unatoa maoni lakini mwingine anashindwa kuelewa lazima tutorautiane kimawazo badala a comment kistaarabu anaanza na mtusi kwanza.Siku hizi majukwaa ya michezo yamekuwa na watu wa ajabu ajabu, matusi, kukosa staha na matani yanayovuka mipaka.
Too bad.
Mkuu tayari lishaanza kukosa mvuto. Hatuwezi kutoa maoni kila wakati kwa mtindo huu.Kabisa mkuu inakera sana, ule utani mzuri wa before Corona haupo tena, sasa hivi ni matusi kwa kwenda mbele.
Kuna jukwaa imebidi ni unsubscribe wanatukana ovyo.
Na kuna baadhi ya members hapa nimeamua kuwaignore nisione comment zao za ovyo na matusi.
Haya matusi yakiendelea hapa tutegemee kuona wadau wengi watalipotezea hili jukwaa mwisho wa siku litakosa mvuto.
HawajakunyamataHahahaha ........ Dogo acha mbwe mbwe! Hizo ID mi ninazo kama 800 mbn hazijawahi kuunganishwa?



wakikumanya umeisha.Ni watoto tu hao mkuu, upepo utapita tumembers waliongezeka siku za karibun ndo wanatukan sana
Mkuu tayari lishaanza kukosa mvuto. Hatuwezi kutoa maoni kila wakati kwa mtindo huu.

mtu umejipinda umeshusha nondo zako za maana kurasa kama 3 na ushehe kiustaarabu kwa lugha maridhawa kabisa, kanafumuka katoto huko hata hujui kalipochomokea kanaandika simpo tu maneno matatu "hii ni takataka" 





Hazard bado UEFA tuEden Hazard na Tibaut Courtois wachukua ubingwa wa Laliga kupitia Real Madrid baada ya kuwachabanga Villarreal goli 2-1 usiku huu
Daah mzee ni shida. Sasa bora hiyo takataka. Mwingine anaanza na muoneni taahira huyumtu umejipinda umeshusha nondo zako za maana kurasa kama 3 na ushehe kiustaarabu kwa lugha maridhawa kabisa, kanafumuka katoto huko hata hujui kalipochomokea kanaandika simpo tu maneno matatu "hii ni takataka"
Dah,unabaki kumuhurumia tu.

sasa unajiuliza mimi kweli naitwa hivyo?