Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Inaumiza kwakweli. Nashindwa hata kuandik ni maumivu gani niliyonayo.

Ila tuzidi kuwa na Imani na Timu yetu nina imani tutamaliza ligi tukiwa nafasi nzuri
Inasikitisha kwa kweli....nafikiri hii ndo mechi yangu ya mwisho kuangalia nasubiri huo mwezi Wa Tisa msimu mwingine

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Inaumiza kwakweli. Nashindwa hata kuandik ni maumivu gani niliyonayo.

Ila tuzidi kuwa na Imani na Timu yetu nina imani tutamaliza ligi tukiwa nafasi nzuri
Baki na imani kwamba mungu mmoja siyo hiyo takataka cheltako
 
Blades wamefanya yao
IMG_20200711_155536_965.jpg
 
Hii au kikundi cha kikoba inafungwaje kwake goli 3 bila afu uende kwa Bayern kudhalishwa huko
 
Ollachuga na yule sijui Papa Gx walizidi tarumbeta sana na kujifanya watabiri leo wamenyooshwa kisawa sawa wamekimbia jukwaa ,na hapa sisi hatutoki tunapiga kambi mpk asubuhi ...
 
Kuelekea mwisho wa msimu huwa ni patashika kwenye kutafuta top 4 na kutoshuka daraja, Man Utd na Leicester wako karibu ila na wao kuna games wataharibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom