Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji847]
IMG_20200711_222148_914.jpg
 
Hamjui tu jinsi mnavyokera wadau humu, halafu kwa nature ya posts ninazoziona kutoka kwako, ninatarajia usiwe wa hivi.

Anyway, mimi ni yangu hayo.
Yaani katika watu ambao nilishawahi kupishana nao kauli na sijamuweka katika ignore list ni huyo jamaa,
Naamini yupo vizuri sana kichwani na katika michango yake naweza okota vitu vya maana....
Akirekebisha hapo padogo tu ameula.
 
Same here, naamini yuko powa sana.

Atajirekebisha, nakumbuka battle yenu kipindi fulani.
 
Mimi pia nina was was na Soton au Crystal palace.

Leceister atakuwa vulnerable sana kwake maana anahitaji kushambulia apate matokeo hivyo ataadhibiwa kirahisi sana.

Soton mnaweza kuwadhibiti, maana mtakuwa home na sasa hivi VAR kama inawapa favor kiasi.

Ila ugenini game zinakuwa ngumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom