Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hutaamini dogo anakula mkataba mrefu zaidi.
Mbona nimesoma mahali ameongezewa mwaka mmoja tu hadi 2023?
Walichofanya hawakumpa mkataba mpya bali Tammy Abraham ameactivate clause iliyokuwepo kwenye mkataba wa zamani inayompa yeye mamlaka ya kuongeza mwaka mmopja hadi 2023. Kama ni mkataba mpya bado sana
 
Blues planning £75m Havertz bid
The Daily Mail reports that Chelsea have stepped up their interest in securing Havertz's signature and are ready to launch a £75million bid to lure him to Stamford Bridge.

It is claimed that Chelsea, despite knowing that they face stern competition to land his signature, are desperate to add him to Frank Lampard's squad and have identified him as a player that they want.


Kai Havertz is one of the hottest properties in European football at the minute

1594407344673.png

Chelsea and Real Madrid offers
According to reports in Spain, Bayer Leverkusen have received two offers for Havertz.

One is an €80million (£72.3million) offer from Real Madrid and the other is from Chelsea which is said to be in the region of €88million (£79.6million).

Majibu ya Lampard yanaonyesha kuwa kuna kinachoendelea chini ya pazia kuhusu Chelsea kumsajili Havertz


“Unfortunately it's another answer from me, that that is not something I want to broach at this moment in time,” Lampard said.

“My focus is completely on the game. So, I don't want to give you any ifs, buts or maybes for the summer, my focus has to be on the here and now.”
 
Bruno Fernandes is the first player in Premier League history to hold the Player of the Month and Goal of the Month awards concurrently #MUFC [premier league]
 
Most league points won by goals:
Sadio Mane 18
Raul Jimenez 18
Pierre-Emerick Aubameyang 16
Tammy Abraham 14

Keep in mind this is Abraham's first season playing for Chelsea as well. There's a lot more to come.

PUT SOME RESPECT ON HIS NAME
Nafikiriri Tammy Abraham ndio Superstar wa hi team kwa sasa hamna zaidi anastahili mkataba mnono
 
Mbona nimesoma mahali ameongezewa mwaka mmoja tu hadi 2023?
Walichofanya hawakumpa mkataba mpya bali Tammy Abraham ameactivate clause iliyokuwepo kwenye mkataba wa zamani inayompa yeye mamlaka ya kuongeza mwaka mmopja hadi 2023. Kama ni mkataba mpya bado sana
Hata mimi nimesoma hivyo mahali. Nadhani huo mwanzo tu kuelekea kwenye mkataba mrefu. Mimi sioni kama atauzwa au atapelekwa popote kwa mkopo naona nafasi yake ya kuwepo darajani kama striker no 2 bado ipo.
 
Mashabiki wenzangu nqwaomba msiweweseke n hili wimbi la nyumbu kwenye uzi wetu tena wengi wao wanakuja kututukana. Wengi wao ni wale wasiojua mpira wanaenda na mihemko tu. Jiulizeni kipindi cha nyuma mbona hawakuonekana leo hii wao ndio wanatuita sisi weupe.

Hao ni aina ya plastic fans wanaibuka kimihemuko hasa timu ikiwa inafanya vizuri ikifanya vibaya ndio waleunaanza kuwasikia kocha Ole afukuzwe. Kwa kifupi ndio tunaita mashabiki maandazi. Iliwaumie vizuri na mechi ya FA tunawqtoboa halafu tunawafa kulekule kuwakejeli bila kuwatukana.
Nakubaliana na wewe kuhusu hawa plastic fans, lakini kutembeleana kwenye nyuzi mbona hata wewe huwa hukauki Kule kwenye uzi wetu??

Lakini pia kama matusi yameshamili kati ya Ollarchuga vs Mc cane na Papaa Gx vs Gpili ambao ni mashabiki wa Chelsea vs Man utd.

So ukijumuisha kuwa wote tunakuja kuwatukana sio kweli, ila ni punguani kadhaa ambao hata ninyi mnao wanaotuka tena sio wanatukania humu tu, wanahamisha hamisha na matusi yao kote kote.
 
Marefa including wa VAR wa EPL wanachekesha sana, Jana badala ya Bruno kupewa red card kwa kumchezea vibaya , dangerous foul beki wa Aston Villa eti walipewa penalti. Kuna uhalifu mkubwa sana ndani ya mpira. Man U wameanza kubebwa kama enzi za Fergusson

Ezri Konsa akimchezea rafu Fernandez

0_JS215000092.jpg
 
We jamaa mbona unajikomba sana kwenye hili jukwaa? Wanaume tumekaa tunajadili mambo ya timu yetu wewe kila saa unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji huku unatingisha wowowoo.
Mnaharibu sana huu uzi na matusi yasiyo na tija. Kuwa na nidhamu basi kwa member wenzako!
 
According to reports in Germany,Chelsea are eyeing up a 40million pound bid for Manchester United star Phil Jones.It is understood that Phil Jones is willing to part ways with the club after 9 years and with Lampard being a big fan of Jones,the deal looks likely to happen.[SportGermany]
Serious!?☹️☹️☹️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom