lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Toa marks baada ya mtihani sio kablaEndelea kuota,![]()
Toa marks baada ya mtihani sio kablaEndelea kuota,![]()
Hizi habari Man U hawataki kuzisikia. Wanachoa amini wao watamaliza juu yetu sisi.Prediction yangu hiyo hapo
Narudia tena ligi imeisha tuendelee na usajili
View attachment 1498184
Angekuwa ni miguu miwili, wenda ingekuwa habari nyingine.
Asingekosa Ila asinge attempt hata kufunga make angetuliza ili ageuke.Lile goal la Giroud angekuwa Abraham angekosa.
Kweli kabisa wafungaji wachache Sana duniani wanafunga goal Kama lile.Asingekosa Ila asinge attempt hata kufunga make angetuliza ili ageuke.
Prediction yangu hiyo hapo
Narudia tena ligi imeisha tuendelee na usajili
View attachment 1498184
🤣🤣🤣🤣🤣 Hapa uwezi kuwaona LONDON IS BLUE na ENZORoss Barkley Stats from 10 matches
3 goals + 5 assists
Amejihusisha kwenye magoli 10 kwa mechi 10 alizocheza maana yake hakuhusika na mechi 2 tu kati ya 10
Mashabiki wameanza kuimba wimbo wa ABAKI, ASIUZWE
Hiyo ndio raha ya mashabiki wa mpira
View attachment 1498790
Hapo kwenye kujihusisha nilimaanisha magoli 8 mkuu, waje wasije sisi tunafurahia good form ya hao wachezaji maana ni faida kwa timu🤣🤣🤣🤣🤣 Hapa uwezi kuwaona LONDON IS BLUE na ENZO
Kwa nafasi alizopata ilibidi awe zaidi ya hayo magoli au assist.Ross Barkley Stats from 10 matches
3 goals + 5 assists
Amejihusisha kwenye magoli 8 kwa mechi 10 alizocheza maana yake hakuhusika na mechi 2 tu kati ya 10
Mashabiki wameanza kuimba wimbo wa ABAKI, ASIUZWE
Hiyo ndio raha ya mashabiki wa mpira
View attachment 1498790
🤣🤣🤣🤣🤣 Hapa uwezi kuwaona LONDON IS BLUE na ENZO
Nashangaa apa kuna wadau wanamkataa adi kumuita muuza mikate cjui ....uyu jamaa namkubali sana kwa mashuti yake..huwa akosi shot on targetRoss Barkley Stats from 10 matches
3 goals + 5 assists
Amejihusisha kwenye magoli 8 kwa mechi 10 alizocheza maana yake hakuhusika na mechi 2 tu kati ya 10
Mashabiki wameanza kuimba wimbo wa ABAKI, ASIUZWE
Hiyo ndio raha ya mashabiki wa mpira
View attachment 1498790
Ukimuondoa Willian (assists 7) na Azpi (assists 6) ambao wamecheza mechi nyingi anayefuatia kwa assists ni Barkley mwenye 5Nashangaa apa kuna wadau wanamkataa adi kumuita muuza mikate cjui ....uyu jamaa namkubali sana kwa mashuti yake..huwa akosi shot on target
Mkuu kuna kitu kinaitwa convertion rate per game, mchezaji wa kiungo katika mechi 10 kujihusisha na magoli 8 sio haba, akiboresha kutoka hapo tunaye kiungo mshambuliaji wa kumtegemea anayeitwa Ross Barkley na pesa zetu za mil 15 zitakuwa hazijaenda bureKwa nafasi alizopata ilibidi awe zaidi ya hayo magoli au assist.
Mkuu kuna kitu kinaitwa convertion rate per game, mchezaji wa kiungo katika mechi 10 kujihusisha na magoli 8 sio haba, akiboresha kutoka hapo tunaye kiungo mshambuliaji wa kumtegemea anayeitwa Ross Barkley na pesa zetu za mil 15 zitakuwa hazijaenda bure