Yanahitajika mabadiliko safu ya ushambuliaji tu. Naona leo akina MM hawaoneshi kutafuta magoli na kati bado hapajakaa sawa. Ila naamini patalaa sawa tu...Ni kweli mkuu ngoja tuone.
Ni sawa mkuu lakini dakika hazirudi nyuma.Yanahitajika mabadiliko safu ya ushambuliaji tu. Naona leo akina MM hawaoneshi kutafuta magoli na kati bado hapajakaa sawa. Ila naamini patalaa sawa tu...
Bado dk 45 nzima. Lolote laweza kutokea!Ni sawa mkuu lakini dakika hazirudi nyuma.
Defense sijaona kama kuna shida. Tatizo kati hawapandishi mipira na mbele wanacheza nalenale sana. Dk kama 5 za mwisho ndio nimeona angalau kuwa watu mbele.Defensive ya chelsea ni mbovu sana lakin hata leo naona vile viungo vya kati joginho haji kuomba mipira kati... Mipira mingi inachezeka nyuma
Kuwepo kwa barkley ndani ni mzigo mkubwa.. Na jogihno kazi yake ni back pass...


