njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,802
Mimi nipo na wewe... tammy ni mzuri, ukizingatia ndio mara yake ya 1 kucheza premier na umri wake ...
Kwa maana mpka sasa kaonyesha uwezo mzuri, tukiachana na drogba, yeye ndio ana wastani mzuri wa kushinda toka karne hii kuanza....
Wanaotaka foward mwingine, yupi kwao ni bora na atakuwa mzuri wa kushinda zaidi yake kwenye ligi ngumu kama epl..????
Sent using Jamii Forums mobile app

Atakuwa mzuri
Tatizo la Abraham limesababishwa na kukosekana mtoa huduma mzuri, Hao mnaowasikia wakifunga kila mara wanahudumiwa vizuri. Na ndio maana kocha analalamikia kukosekana kwa kiungo mbunifu. Ujio wa Hakim na probably Sancho utabadilisha ufungaji wa Abrahama kwa sababu wanaokuja ni mafundi wa kuassist
Sent using Jamii Forums mobile app