Pulisic ni mzuri kuliko huyo odoi
Pulisic ni mzuri kuliko huyo odoi
pulisic yuko vizuri t shida ake majeruhi sana ,spana mkononi
Sijui nani maana kumsubiri Odoi na Pulisic siyo leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ziyech ni winga kwenye 4-3-3 no way inayomfaa ni winger tu. Kwenye 3-4-3 ni wingerPulisic/Odoi - New Striker - sancho
Kovacic - Kante - Ziyech
New LB - Rudger - New CB - James
Sent using Cash Money Wings
Sent using Cash Money Wings
Abraham sio striker mzuri Chelsea needs new striker mzuri zaidiImagine Reece anapandisha timu anampokea Ziyech kummiminia Tammy. View attachment 1359436
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa mzuriAbraham sio striker mzuri Chelsea needs new striker mzuri zaidi
Nafasi ngapi Abraham anakosaga? Au uangalii mwangalie game dhidi ya man city alipata nafasi mbili za wazi kakosa, Kuna game pia tulicheza na Liverpool Stamford bridge kakosa chance za wazi.Team kubwa Kama Chelsea haiwezi kumtegemea Abraham kuwa striker wao tegemeziAtakuwa mzuri
Tatizo la Abraham limesababishwa na kukosekana mtoa huduma mzuri, Hao mnaowasikia wakifunga kila mara wanahudumiwa vizuri. Na ndio maana kocha analalamikia kukosekana kwa kiungo mbunifu. Ujio wa Hakim na probably Sancho utabadilisha ufungaji wa Abrahama kwa sababu wanaokuja ni mafundi wa kuassist
Aminini nawaambia Tammy ni mchezaji mzuri sema kinachomsumbua Tammy amekosa watu wa kumchezesha. Nikisema ivyo simaanishi kina Pulisic au Mount ni wabaya ila ninachomaanisha bado hawajaelewana vizuri kiuchezaji ukizingatia wote ni wageni wa EPL hakuna mwenye experience sana na ligi. Hawa jamaa wanahitaji muda combination yao iweze ku tick. Tammy apate mtu mzuri wa kumpa mapande ya kutosha anamaliza ligi na si chini ya magoli 20.Abraham sio striker mzuri Chelsea needs new striker mzuri zaidi
Tammy tena? Tunataka makombe mzee, Tammy hawezi kutepeleka kwenye ndoto zetu. Tammy Kuwa sub itapendeza.
lampard alisema striker mpya kwa ajili ya kuongezea nguvu kikosi sio kwamba Tammy ni level ya championship,, kila mtu Ana mapungufu yake currently huwez pata striker aliekamilika kiurahisi,,in short pamoja na mpungufu yake Tammy bado anajitahid
Unatetea ujinga kaka? Lampard mwenyewe alishasema anataka striker mpya. Tammy level yake ni championship.
Wewe inabidi uwe mshabiki wa Arsenal hata mentality yako imekaa kiarsenal arsenal Abraham Hana quality ya kuwa main striker wetu.Aminini nawaambia Tammy ni mchezaji mzuri sema kinachomsumbua Tammy amekosa watu wa kumchezesha. Nikisema ivyo simaanishi kina Pulisic au Mount ni wabaya ila ninachomaanisha bado hawajaelewana vizuri kiuchezaji ukizingatia wote ni wageni wa EPL hakuna mwenye experience sana na ligi. Hawa jamaa wanahitaji muda combination yao iweze ku tick. Tammy apate mtu mzuri wa kumpa mapande ya kutosha anamaliza ligi na si chini ya magoli 20.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli tunahitaji striker wa kumchallenge Tammy. Lakini hata huyu tulionaye si mbaya kama mnasema. Ni kama ilivyo kwa nafasi ya golikipa, Kepa siyo mbaya ila tunahitaji mtu mwingine bora zaidi kumpa changamoto Kepa.Mkuu huwa naona Aibu sana naposoma msg ya mdau anayemtetea Tammy. Lampard asimamie msimamo wake wa kusajili striker.
Tupo nyuma ya Lampard, january Marina hakumletea striker ila tunaimani atakuja bonge la striker
Kubeba kombe epl tunatakiwa tuwe na striker caliber ya Aguero na Firmino na sio kindergarten striker
Kilamtu ana uhuru wa kutoa maoni. Naheshimu maoni yako mkuu.Wewe inabidi uwe mshabiki wa Arsenal hata mentality yako imekaa kiarsenal arsenal Abraham Hana quality ya kuwa main striker wetu.
Ni striker gan ame perform kama Tammy baada ya Costa?Baada ya kuondoka diego costa striker gan alieperform Chelsea,,, morata alishindwa kabisaa , Batman ndo huyo nae hajiwezi
Imagine Reece anapandisha timu anampokea Ziyech kummiminia Tammy. View attachment 1359436
Sent using Jamii Forums mobile app
Abraham sio striker mzuri Chelsea needs new striker mzuri zaidi
Atakuwa mzuri
Tatizo la Abraham limesababishwa na kukosekana mtoa huduma mzuri, Hao mnaowasikia wakifunga kila mara wanahudumiwa vizuri. Na ndio maana kocha analalamikia kukosekana kwa kiungo mbunifu. Ujio wa Hakim na probably Sancho utabadilisha ufungaji wa Abrahama kwa sababu wanaokuja ni mafundi wa kuassist
Tammy anajitahidi sijakupinga , but anahitaji mtu atae mchallenge zaid
Ni striker gan ame perform kama Tammy baada ya Costa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu ujao utanambia mwenyewe. Tutambue there is first time for everything. Hawa madogo tuwape muda labda kuanzia msimu ujao wanaweza kuwa sawaSawa mkuu. Mawazo yote ni mema kwa mafanikio ya chama letu. Ngoja tuone usajili wa huyo anayekuja kumchallenge Tammy.
Ila chance za kufunga anazopoteza Tammy ni nyingi jamani kama una hasira unaweza pasua tv yako.