Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,739
- 1,585
Ni kweli mkuu na hata hao strikers wanaosemwa hatuna uhakika kama wataiweza mikiki ya EPL na kama watamudu mazingira ya pale Uingereza kisoka.
Kulikuwa na mtu anaitwa Luca Jovic pale Ujerumani timu ya Frankfurt. Ila tangu aende Madrid msimu uliopita mpaka leo kafunga goli mbili tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikuwa na mtu anaitwa Luca Jovic pale Ujerumani timu ya Frankfurt. Ila tangu aende Madrid msimu uliopita mpaka leo kafunga goli mbili tu!
Mastriker wote ambao wako vizur utaangalia tim kubwa zote zinawataka kuanzia kwa lautaro martinez mpka kwa dembele
Me naona turudi kama zaman tulikuwa na sheva na drogba then tukawa na drogba na anelka na wote walikuwa wanatupa matokeo katika mechi tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app