Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

YES, inawezekana ikawa njia bora ya kupunguza hasara ya kumuuza Keppa mwisho wa msimu.

Usajili ufanyike kuboresha safu yetu ya ulinzi halafu tumuangalie keppa performance yake msimu ujao.

Sent using Cash Money Wings
Me nahis kepa magoal anayofungwa ndio yanamfanya aonekane mbovu ujue kipa lazima aoneshe ubora wake hata kama beki ziko vizuri ukiangalia liverpool kunamechi unakuta alison anawaweka mchezon kwa save anazofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea siku hizi wanapost tetesi za mitandaoni/magazetini.

Fans wengi wamelalamika sana huo utaratibu wa kupost tetesi zinazotuhusu sisi wenyewe.

Tulitegemea kama club iwe inapost official announcement za deal zilizofanyika na sio kupost tetesi

Sent using Cash Money Wings
Kwenye mitandao usipopost habari zinazotrend huwezi vutia watembeleaji wengi. Official anoucement kwa taarifa za usajili huwa haipo hadi mkataba usainiwe kwa sababu tunazungumzia mchezaji mwenye mktaba halali na timu nyingine.
 
Nimeshakueleza hao wote wanacheza na habari za zamani wasipopata mpya, mimi nimekupa fact za mkataba wenyewe wa Kante na Odoi. Hao wengine hata kama wako elfu achana nao. Jifunze jinsi media hasa za kwenye website wanavyouza habari, wanabadilisha heading tu bila kubadiulisha core news. Hata wakati wa tetesi za usajili, ukifuatili taarifa inaweza circulate mwezi mzima ikiwa na heading tofauti na tarehe tofauti
Mkataba aliusaini tar 23 Nov 2018, Zaidi ya mwaka uliopita
  1. Chelsea news: N'Golo Kante's incredible new salary revealed - Eden Hazard won't be pleased
  2. Chelsea transfer news: N'Golo Kante signs new record £290k-a-week Blues deal | Goal.com
Odoi
  1. Callum Hudson-Odoi new contract: Chelsea teenager signs five-year, £180,000-a-week deal | Goal.com
 
Yah kipa ana role yake kwenye mechi. Binafsi sifurahishwi na ubora wa keppa. Hapa tuungane na mrembo wetu Marina twende kiuchumi zaidi

zile £80M zinauma sana. Tuendelee kumchezesha huko mbeleni tumuuze angalau £50M kuliko hii £30M ya sasa

Sent using Cash Money Wings
Mkuu huyu jama aondoke atakuja hatukoseshe nafasi ya UEFA ambayo ibatuletea pesa kuliko hizo £50m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AJAX WAME CONFIRM ZIYECH TO CHELSEA DEAL

Bei ya Danny Drinkwater..cheeper than Tiemoue Bakayoko.
20200213_151227.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa. Japo ana makosa madogo madogo lakini makosa yake yanaweza kufanyiwa kazi naona. Kikubwa tupate beki mzuri tuwe na safu bora ya ulinzi.

Nakumbuka Cech aliyoenda Arsenal na kukutana na ile safu mbovu alikuwa akifungwa muda mwingine magoli ya ajabu kabisa. Lakini sio kwamba alikuwa Kipa mbovu.
Kwani Chelsea ndio yenye defense mbovu kuliko zote EPL? kwa nini hizo timu zenye defense mbovu kama Arsenal kipa wao anaongoza kwa saves nyingi? Tatizo kubwa na la msingi la Kepa ni mentality yake. Kama kipa anaamini makossa ya yeye kufungwa magoli mengi ni ya mabeki unategemea atajifunza hapo?. Leno ya Arsenal anaongoza kwa kuwa na mabeki wabovu ila save zake ni kubwa
Kepa kadaka mara 60, magoli 71 kashafungwa
Msimu huu pekee kadaka mara 24 kashafungwa magoli 32 na cleansheet 5, saves 41
HATA KAMA CHELSEA WAKIMSAJILI CB BADO KEPA ANATAKIWA KUONDOKA AU KUWA BACKUP GK
 
Keppa ana ubora wake na udhaifu wake. Keppa anaruhusu mistake ndogo ndogo zinameza ubora wake. Nadhani pia umri wake mdogo unachangia.

Keppa kuwa hatabiriki kuna muda unaotegemea atafanya save hafanyi, na kuna muda ambao hutegemei atasave ndio anasave.

Nadhani tatizo kubwa la keppa lipo kwenye akili yake. Afundishwe jinsi ya kusoma mchezo.

Kuna goal flani alifungwa baada ya kufanya save makini, baada ya ile save akawa relax, hakuendelea kuwa makini kufuatilia uchezaji, baba jamaa alituma fataki la chinichini nje ya 18 keppa kuja kushtuka ngoma hii hapa akapishana nayo.





Sent using Cash Money Wings
Ubora wa Kepa anajiamini sana mpaka anawarushia maadui mpira, Ukifanya review ya mechi tulizofungwa kizembe ndio utajua Kepa hafai kuka golini mwa timu kubwa kama Chelsea
 
Yeah but naona skysport wanasema bado tunamuhitaji sancho hata kama tumemsajil ziyech
Deal ya sancho ikikamilika itakuwa poa na back up zaonzitakuwa ni pulisic na odoi

Alex telles twende na huyu jamaa

Beki wa kati kunayule jamaa wa rb liepzig umpenecano sijui kama jina nimepatia twende nahuyu thaman yaki haiwezi izidi 60
Koulibaly ninmzuri but fee yake ni kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Sancho akikaa kulia na Willian kushoto na Hakim forward wa katikati hata Batshuayi atakuwa mfungaji bora wa EPL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom