Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii habari niliikuta katika moja ya page ya Chelsea fans nikaiipuuzia sasa nimeikuta katika page ya Transfers, moja kati ya page ninayoiamini kuhusu habari za michezo.

Huyu dogo akubali tu kuja
Screenshot_20200215-204147~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri tuone itavo kuwa,kma ni kweli bas msimu ujao Chelsea itakuwa vizr sana
 
Media bana
The Blues are monitoring Diego Simeone's situation at Atletico Madrid and would consider replacing Frank Lampard, according to the Daily Express.
Diego siemioni akija Stamford bridge kwa mfumo wake wa mpila wachezaji watakao baki ni ma defender kama zouma Reddiger Emerson kante na joginiho ndo angalau wanaweza mfumo wake,wa mchezaji kumiliki mpila kwa kudribble control na passa ndefu, wakina odoi prisic huyu Abraham hata kwenye sub anaondolewa kabisa......
naomba wasimleta atatutia hasara ya kununua wachezaji wapya nakuuza wengine wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mario Pasalic aipatia Antalanta goli la pili dakika ya 59 na la ushindi dhidi ya AS Roma katika mechi ya kuwania top 4 ya Serie A. Antalanta imeshinda 2-1 wakitokea nyuma ya goli 1-0 dk ya 50
 
Ni kweli Chelsea wameanza mazungumzo na agent wa Jadon Sancho kumnunua kwa paundi mil 87, tusishangae baada ya wiki kadhaa zijazo naye atakuwa sambamba na Hakim Ziyech kwenye attacking lineup ya Chelsea msimu ujao
 
Akija Sancho na RLC
Timu itakuwa hivi kwenye 4-2-3-1

Tammy Abraham
Jadon Sancho - RLC - Hakim Ziyech
Kovacic - Kante
Ben Chilwell - Rudiger - Christansen - James

Andre Onana
Hawa watakuwa backup au SUB
  1. New striker
  2. Jammie Cumming GK
  3. Willian - atakubali mkataba wa miaka miwili
  4. Barkley
  5. Mount
  6. Pulisic
  7. Billy Gilmour
  8. Odoi
  9. Azpilicueta
  10. Tomori
  11. Zouma
  12. Jeremie Boga atarudishwa kutoka Sassuolo
Hawa wataondoka bure
  1. Pedro
  2. Giroud
  3. Willy Caballero

Hawa watauzwa au kutolewa mkopo
  1. Kepa
  2. Alonso
  3. Emerson
  4. Jorginho
  5. Batshuayi
 
Chelsea closing in on summer transfer for Ajax keeper Andre Onana after he snubs Tottenham, PSG and Barcelona
But according to Le 10 Sport, PSG sporting director Leonardo was told he had "no chance" of signing Onana, who has decided he wants to head to Stamford Bridge.
 
Akija Sancho na RLC
Timu itakuwa hivi kwenye 4-2-3-1

Tammy Abraham
Jadon Sancho - RLC - Hakim Ziyech
Kovacic - Kante
Ben Chilwell - Rudiger - Christansen - James

Andre Onana
Hawa watakuwa backup au SUB
  1. New striker
  2. Jammie Cumming GK
  3. Willian - atakubali mkataba wa miaka miwili
  4. Barkley
  5. Mount
  6. Pulisic
  7. Billy Gilmour
  8. Odoi
  9. Azpilicueta
  10. Tomori
  11. Zouma
  12. Jeremie Boga atarudishwa kutoka Sassuolo
Hawa wataondoka bure
  1. Pedro
  2. Giroud
  3. Willy Caballero

Hawa watauzwa au kutolewa mkopo
  1. Kepa
  2. Alonso
  3. Emerson
  4. Jorginho
  5. Batshuayi
Sancho akija sioni kma willian atabaki ukiangalia odoi na pullisic nao watahitaji nafasi,kwa haraka haraka huenda huu ndio ukawa msim wa mwisho wa willian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akija acheze winga ya kulia. Halafu Ziyech asogee kwenye CAM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sancho anacheza winga zote mbili, kushoto na kulia na saa nyingine kama atacking Midfield. Tuseme tu mawinga wote wanaweza kucheza kama Atacking midfielder
Akicheza kushoto anacheza kama wide area winger au inside forward AU kama alivyokuwa nacheza Hazard. Akicheza Kulia anacheza kama natural winger.

On it he's a flair player best on the left as an inside forward or on the right as a winger. He’s extremely quick, technically excellent and moves constantly, capable of dribbling his way past defenders or nipping past them with pace and a smart one-two. Despite his inexperience, Sancho tends to make the correct decision on the pitch, doesn’t attempt ridiculous tricks for no reason and finds the right pass quickly. He keeps improving too.

“His acceleration is brutal, he can do a lot of damage with his quick changes of direction,” said Maximilian Philipp, Sancho's Borrussia Dortmund teammate, after a a goal and two assists in the 4-0 victory over Bayer Leverkusen.

 
Sheria ya mikataba ya wachezaji Chelsea, inasema kwamba mchezaji akifikisha miaka 30 kwenda juu aongozewe mkataba wa mwaka mmoja mmoja.

Willan anataka mkataba wa miaka 2 kinyume sheria ya timu. Hivyo mgt itamuacha aondoke bure.

Sent using Cash Money Wings
Willian anataka mktaba wa miaka mitatu, bodi imempa miwili bado hajakubali
 
Ndugu zangu Kama ikitokea Sancho akasajiliwa na Chelsea je Hakim ziyech na Sancho watacheza vipi kwenye team moja?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom