Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,194
Mzee utakua na matatizo kwenye macho yako.Sijui mnaona nini kwa Sancho wallah? Sancho kama odoi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee utakua na matatizo kwenye macho yako.Sijui mnaona nini kwa Sancho wallah? Sancho kama odoi tu.
sancho ni overrated zych ni mtu mara 7 wachezaji wa uingereza promo nyingi mno.
Unataka kuniambia hata Harry Kane ni overrated?sancho ni overrated zych ni mtu mara 7 wachezaji wa uingereza promo nyingi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
anajambo gani sasa uyo top score wa penaltyUnataka kuniambia hata Harry Kane ni overrated?
Sifa mnampa Marina bure
Aliyefanya scouting na kumpendekeza Hakim ni Lampard
Marina angefanya peke yake angetuletea akina Bakayoko na Drinkwater
Ziyech: “Which club would you like to go to in the future?”
Kluivert: “Thats a good question, I like English football but my ultimate dream would be barca. And your ultimate dream?”
Ziyech: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Harry Kane ana misimu minne mfululizo kafikisha magoal 20+ na Kati ya misimu Hiyo amekuwa top scorer mara mbili wa ligi ya uingereza utasemaje jamaa ni overrated?anajambo gani sasa uyo top score wa penalty
kiwango chake kawaida uchezaji kama john boko tu
yuko wapi Lingard?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea wanatakiwa wasajili left back, central defender, kiungo mshambuliaji na striker basi kazi itakuwa biashara imeisha itakuwa Haina haja ya kumsajili Sancho.Hahahahamashabiki wangapi wa Chelsea wanapenda Sancho asajiliwe?
Kwa Sancho mashabiki tumegawanyika. Na sababu zipo:-
1. Bei yake sokoni
2. Ubora wa Kiwango chake akitua EPL (Ugumu wa league)
Usajili wa Ziyech umekuwa bonge la usajili shangwe kila shabiki hata wapinzani wetu wamekuwa positive kwa usajili huu.
Sent using Cash Money Wings
Kuna watu nahisi wanatumia keyword ya overrated bila hata kujua ina maana gani hasa!Harry Kane ana misimu minne mfululizo kafikisha magoal 20+ na Kati ya misimu Hiyo amekuwa top scorer mara mbili wa ligi ya uingereza utasemaje jamaa ni overrated?
Wameshaaminishwa mchezaji yoyote wa kiingereza anakuzwa kiwango chake ndo maana wanawaponda wachezaji wa kiingereza.Ni kweli Kuna baadhi wachezaji viwango vyao vinakuzwa na media za uingereza reality wanaviwango vya kawaida mfano Jones stone wakati yupo Everton sasa hiv Man City wamekula hasara lakini si wote Kuna wengine wanapaishwa na media za uingereza cos ni wachezaji waingereza lakini reality wanastahili hizo sifa Kama sterling, Harry kane, Sancho.Kuna watu nahisi wanatumia keyword ya overrated bila hata kujua ina maana gani hasa!
Mkuu ushaangalia stats za sancho msim huusancho ni overrated zych ni mtu mara 7 wachezaji wa uingereza promo nyingi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemis hii comment aiseehWanaume tumekaa tunajadili mambo ya timu yetu. Wewe unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji huku unatingisha wowowoo.
Sent using Cash Money Wings
An English overrated player at the age of 19. Jaman hadi hizi namba zinadanganya?sancho ni overrated zych ni mtu mara 7 wachezaji wa uingereza promo nyingi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo mbaya japo Sasuolo naona wanamchezwaha Boga kama LWKuna sehem nilisoma wanasema wanaweza kumsajili boga na kumpeleka dortmund kwa ajili ya kumpata sancho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama shida ni bei yake basi wanao mu overrate siyo waingereza ni wajerumani wenyewe. Halafu pia tulishaongea kitambo usajili wowote ni kamari. Hakuna mwenye uhakika kama anaweza skaendeleza moto wake au aka flopMi nachohofia ni hicho tu, kuflop. Sijui lakni. Mi nachotaka lampard asajili wachezaji wote anaowataka, ili kisingizio kisije kikawa tena kutokusajili mana sahiv anajificha kwenye kisingizio cha kutosajili, au ndio akishasajili ataanza kusema apewe muda!!
Sio kw bei hiyo mkuu.
Mzee fatilia mpira aiseeee..... Sancho na Odoi ni ardhi na mawinguSijui mnaona nini kwa Sancho wallah? Sancho kama odoi tu.
Ziyech anaweza cheza kama CAM. Na ameshacheza hivyo pia akiwa Ajax...Chelsea wanatakiwa wasajili left back, central defender, kiungo mshambuliaji na striker basi kazi itakuwa biashara imeisha itakuwa Haina haja ya kumsajili Sancho.
Tofauti na Sancho kuna mchezaji wetu tulimpeleka Sassuolo. Amewasha moto uko balaa. Huyo ni Jeremy Boga yeye ni Left Wing anakokota mpira kama Hazard.Dah Kweli hizi jamaa ni mashine.
Man city kuna Marhez, Benardo Silva, Sane hawa ni left footers
Marina fungua pochi tumlete Sancho.
Sent using Cash Money Wings