Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mzee tusajili wachezaji kwa nafasi zao za kuonyesha ubora.

Kocha afanye usajili wa wachezaji kwa mahitaji ya mfumo wake. Msimu ujao tuache kuwachezesha wachezaji kwenye nafasi ambazo sio zao.

Hakuna kitu kinaniuma sana kama KANTE kucheza attacking midfielder.

Sent using Cash Money Wings
Ndio but ukimuangalia pulisic anaweza cheza lw na cam
Ziyech anaweza cheza rw na cam
Ikitokea tukamsajili sancho hivyo ndio itakavyokuwa

Japokuwa naamin deal la sancho ndio lishakufa hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitegemei Marina kutoa £100M kwa SANCHO. Dili la sancho kama limeshakufa

Sent using Cash Money Wings
Chelsea are cooling their interest in the England ace due to Borussia Dortmund’s £100m valuation.

Chelsea wametenga Paundi mil 240 kwa usajili wa msimu wa kiangazi
Je Jadon Sancho atafit kwenye hiyo bajeti?
Chelsea wamepanga kusajili wachezaji watano
  1. Kiungo mshambuliaji
  2. Winga wa Kulia
  3. Striker
  4. Beki wa kushoto
  5. Golkipa
1581644764267.png

Tayari Hakim Ziyech tunaye, bado wanne kwa bajeti ya paundi mil 240

Mwonekano wa jinsi Chelsea wanataka kutumia hiyo 240 ni kama ilivyoonyeshwa hapo kwenye jedwali
Ni dhahiri kuwa Chelsea hawako tayari kutumia zaidi ya paundi mil 70 kwa Jadon Sancho labda Tajiri kwa mapenzi yake na Sancho aamue kuvunja mojawapo ya akaunti yake ya benki mbali na ile mil 240
Metro wao wanasema Hakim Ziyech ni option ya bei nafuu kwa Jadon Sancho. Kwa hiyo inavyoelekea ndivyo Chelsea wameshampa mgongo Sancho

Ziyech, who is valued at around £42m, is seen as a cheaper and more attainable alternative to Jadon Sancho
 
View attachment 1356813

Kuna sehem nilisoma wanasema wanaweza kumsajili boga na kumpeleka dortmund kwa ajili ya kumpata sancho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ziyech: “Which club would you like to go to in the future?”

Kluivert: “Thats a good question, I like English football but my ultimate dream would be barca. And your ultimate dream?”

Ziyech: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”

tupe na tarehe ya hayo matamshi, maana sidhani kama kayatamka hivi karibuni hasa hii ya Arsenal
 
Ziyech: “Which club would you like to go to in the future?”

Kluivert: “Thats a good question, I like English football but my ultimate dream would be barca. And your ultimate dream?”

Ziyech: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh mwisho wa siku kaenda wapi

unapata raha gn?
wakati mchezaji huyo kaenda kwa mpinzani wako.

Beggars can't be choosers
 
Kwahy, Lambard ndio scout wa Chelsea.?

Beggars can't be choosers
Mkuu kocha yupo kwenye timu ya scout, kuna sehemu huko nyuma nilitaja walio kwenye hiyo scout team. Kwa maneno mengine Kocha hasa Lampard tofauti na Conte na Sarri anahusishwa sana kwenye wachezaji wanaotakiwa kusajiliwa. Report ya scout intelligence zinaenda kwake. Yeye mwenyewe akiwa na nafasi anatembelea mechi mbalimbali kufanya uscout. Natumaini umenielewa
FRANK LAMPARD is reportedly telling his scouts to line up a replacement for Chelsea keeper Kepa Arrizabalaga.
Kuanzia msimu uanze hadi sasa, Kepa ana save percent ya 56 ambayo ni ya pili kutoka chini baada ya 55% ya kipa wa Southampton. Alisson Becker wa kwanza kwa kuwa na 78%
Na hii pia
Chelsea’s transfer guru team revealed with Lampard heading group to decide on transfers and signings
As manager, Frank Lampard is heavily involved in the decision-making process.
And he is supported by Marina Granovskaia, Petr Cech and Scott McLachlan, with Lampard making it clear that it is a "joint effort".

Scouting Team nzima ni
  1. Frank Lampard - Ana maamuzi makubwa kwenye uuzaji na usajili wa wachezaji
  2. Marina Granovskaia - ana maamuzi kwenye mikataba na mshauri wa karibu wa Roman
  3. Petr Cech - Mshauri tu
  4. Scott McLachlan - Head of International Scouting - Mshauri tu
 
Cristiano Ronaldo: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”

Messi: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”

Kevin Bryune: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”

Mane: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”

Mbappe: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”

Varane: “Well I have two clubs those are ARSENAL and Barcelona. Those are my ultimate dream.”

Sent using Cash Money Wings
Hapo unabadilisha jina tu na kufanya matamshi rasmi, mitandao bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom