ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
Hela sitoi mimi,anatoa mama yako.We mbona umen'gan'gania Bei Bei kwani hela unatoa wewe?
Hela sitoi mimi,anatoa mama yako.We mbona umen'gan'gania Bei Bei kwani hela unatoa wewe?
Mimi naona mchezaji sacho tunamuhitaji ila sio kwa hiyo Bei ya £120m inawezekana kua ni msimu ndoumemkubali tu, tena kibaya zaidi viombo vya habari vya uingereza vina over rate wachezaji wao. Sacha bei yake halisi ni £60- 80m hapo poaWe mbona umen'gan'gania Bei Bei kwani hela unatoa wewe?
Kweli mkuu ila hiyo ragi yako ya kijani inatupa kuchefuchefu mkuu hao wameua soka la TZMarry Christmas &happy new year 2020 to all Blues ,tulipo wengi hawakutarajia tulipelekwa nafasi ya kumi lakini vijana wamegoma kwenda huko .Blue is the best color
Tupo wote kwenye hili bro, mie yangu macho ....... sacho amekua tu na msimu mzuri, ila sio wa bei hiyo, huyo sacho nimemchek kama mechi mbili hivi, hakunipromise chochote cha future ni bahati tu na media za UK, mcheki mount au pulisic wanavyohold na kuposses mipira wanapromise kitu flani mbeleni tena kikubwa sana.
Yote iyo kwa Sancho? Anaeza kuja kuwa kama Morata.. Timo Warner naona anafaa sana..Tushindwe sisi tu.View attachment 1300603View attachment 1300604View attachment 1300605
Sent using Jamii Forums mobile app




Conte ndo bingwa wa huu mfumo ..timu nyingi zina/zimeiga lakini zinafeli ..Nirejee kwa kusema hakuna team inayo au iliyowahi kuupatia mfumo wa 3 4 3 EPL kama the blues. Rejea hata ubingwa chini ya Conte.
Mimi siafikiani kuchukuliwa kwa Zaha.Chelsea wanakaribia kuingia deal na Crystal Palace
mil 80 + Giroud = Wilfred Zaha
Terry hajawahi cheza Aston Villa katika youth carrier yake.
Arsenal walikuwaga wanesema mchezaji gali anachukuliwa na jirani, mchezaji gali mara kadakwa kwingine. Tukiingia mtego wa Arsenal tutabakigi tunaomba dua tusitoke angalau kushgiriki Europa, Ubingwa tusahauMimi naona mchezaji sacho tunamuhitaji ila sio kwa hiyo Bei ya £120m inawezekana kua ni msimu ndoumemkubali tu, tena kibaya zaidi viombo vya habari vya uingereza vina over rate wachezaji wao. Sacha bei yake halisi ni £60- 80m hapo poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii haitawezekana kabisa.Ulishawahi kuwaza hii safu ya ushambuliaji itakuwaje?
______________________________________________
Willian - Timo Werner - Jadon Sancho
-----------------------------------------------------------------------------
Morata stats zake zilikuwa hivyo hivyo, hakubadilika. Mimi nashanga watu wanasema Morata kaflop. Hajaflop Morata ni striker wa magoli 10-15 kwa msimu mzima au goli 1 kwa mechi 3Yote iyo kwa Sancho? Anaeza kuja kuwa kama Morata.. Timo Warner naona anafaa sana..
Merry Christmas to all Chelsea Fans
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ana tofauti gani na Tammy? Inatakiwa aletwe mtu ambaye ata mchallenge Tammy pale mbele ..kwang mim Timo Warner naona anafaa sana maana kwa wastani ana magoli mengi tuWewe unataka jamaa aweje yani? Kwani Hazard hakuna matches ambazo anazimwa?
Huu msimu kwenye Bundesliga pekee Sancho kacheza match 15 ana goals 9 na assists 9.
Sent using Jamii Forums mobile app



Nilisahau mkuu niliwaza Westham uku na type Aston VilaTerry hajawahi cheza Aston Villa katika youth carrier yake.
Youth Carrier
1991 - 1995 Westahm
1995 - 1998 Chelsea
Baada ya hapo ndio akaja kupandishwa timu ya wakubwa hiyo mwaka 1998. Pia mwaka 2000 alipelekwa Nottingham Forest kwa mkopo.
Sent using Jamii Forums mobile app



Werner ni striker Sancho ni RW, halafu hata ivyo Wener itabidi atengewe fungu lakeYote iyo kwa Sancho? Anaeza kuja kuwa kama Morata.. Timo Warner naona anafaa sana..
Merry Christmas to all Chelsea Fans
Sent using Jamii Forums mobile app
Tammy striker, Sancho ni winga na akija atacheza winga atawachalenge akina Odoi, Pulisic, Willian etcSasa ana tofauti gani na Tammy? Inatakiwa aletwe mtu ambaye ata mchallenge Tammy pale mbele ..kwang mim Timo Warner naona anafaa sana maana kwa wastani ana magoli mengi tu
Kila la kheri Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani kukwambia hili. Nadhani Sancho huku muangalia pengine ulimchungulia tu. Nakuomba tafadhali rudi mcheki upya ikiwrzekana angalia mechi live za Dortmund utapata majibu.Tupo wote kwenye hili bro, mie yangu macho ....... sacho amekua tu na msimu mzuri, ila sio wa bei hiyo, huyo sacho nimemchek kama mechi mbili hivi, hakunipromise chochote cha future ni bahati tu na media za UK, mcheki mount au pulisic wanavyohold na kuposses mipira wanapromise kitu flani mbeleni tena kikubwa sana.