Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukitaka kujua ubora wa Rudiger, wee angalia alichokifanya Son Heung-min. Baada ya kubanwa sana akaamua kumfanyia uhuni ule ambao kwa bahati nzuri ilionekana na VAR
Pia wazungu hawana uvumilivu, Rudiger alitupiwa maneneo ya ubaguzi baada ya kuwabana vizuri SON, KANE na DELLE ALI.
"Why Rudiger was then allegedly subjected to monkey noises by a small section of the Tottenham crowd was a mystery to me. It was Son who kicked out and Rudiger gets the abuse for doing his job?" Crooks added.
 
Chelsea 'close' to Sancho move
Chelsea are said to be “close” to making a £120million move for Borussia Dortmund star Jadon Sancho.
Liverpool nasikia wameshajitoa kwa kuogopa hizo figure
Wamebaki Chelsea labda na Man U maana ndio wababe wa EPL inapokuja kwenye malipo
 
Chelsea are set to beat a string of Europe’s most successful clubs in order to land arguably the most wanted player from the continent.
Borussia Dortmund winger Jadon Sancho is inarguably the most wanted property amongst Europe’s elite clubs ahead of the New Year. The Englishman is an absolutely lethal forward and is on the radars of Barcelona, Chelsea, Liverpool, Manchester City, Manchester United and Real Madrid, who are all keen on adding him to their respective rosters.

Last season, Jadon Sancho was the only player alongside Lionel Messi and Eden Hazard to have registered double-digit numbers in the goals as well as assists count in the top five European leagues, and was the first one to get to that mark in all competitions this season. Sancho’s credentials are proven and he will be successful wherever he goes.
 
Chelsea wanakaribia kuingia deal na Crystal Palace
mil 80 + Giroud = Wilfred Zaha
 
Nasema tena huyu ni muhimu tena sana. Kwa uwezo wake wa kufunga na kuasiosts Katika umri mdogo wa miaka 19 wewe unataka nini? Tukawasajili wazee? huyu anafaa kwenye short, mid and long plan ya kuboresha team
Sio kwa bei hiyo aisee, sijaona kikubwa cha kumfanya auzwe kw hiyo bei. Odoi akiacha ubishoo anaweza tu kuliko hata huyo Sancho, kw bei hiyo hapana.
 
Kaka Tusubiri mpaka lini Odoi aache ubishoo? Chelsea msimu ujao tunataka kombe la epl.

Hatuna muda wa kuwavumilia wachezaji ambao hawajitoi 100% kwenye timu.

Man city ana wachezaji zaidi ya watatu namba moja. Hapo hakuna ubishoo kila mmoja anapambana kujihakikishia namba.

Mbali na sajili za kinasacho na zaha, kwa sasa Tunatakiwa tujenge kikosi fayaaa aliyoko ndani 1st eleven motoo, aliyoko benchi motoo. Msimu ujao Tupambane na liverpool na city kwenye ubingwa na sio kuendelea kusindikiza.

Natamani kuona Chelsea mpya inazaliwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Concern yangu ni kwamba sancho hana thamani hiyo. Hana maajabu ya kumfanya awe na thaman hiyo, atanunuliwa trust mi tutamkataa wote humu.
 
Sio kwa bei hiyo aisee, sijaona kikubwa cha kumfanya auzwe kw hiyo bei. Odoi akiacha ubishoo anaweza tu kuliko hata huyo Sancho, kw bei hiyo hapana.
Ndugu, siku njema huonekana asubuhi, Odoi wa kusubiri, kwa Sancho nilisema yeye anafaa kwa suluhisho la muda mfupi, kati na muda mrefu, Odoi yeye kwa muda mrefu na hatujui kama baada ya huo muda mrefu ataach huo ubishoo na papara za kuwapasia maadui mpira hata akiwa ana defend
 
Tena kibaya zaidi ni mgerenza lini mgerenza awe na mpila wa £120m anacheza miaka miwili huoni tena hawana vipaji asiri vya mpila hao watu

Sent using Jamii Forums mobile app
usijumlishe, wako waingereza wengi sio tu professional na legend bali pia wameweka rekodi mbalimbali. Mimi naona tatizo sio Uingereza, bali tatizo ni mtu mwenyewe
  1. Terry alikuwa ni mwingereza'
  2. Lampard je?
  3. Ashley Cole Je?
Nje ya Chelsea
  1. David Bekham
  2. Miachael Owen
  3. Wayne Rooney
  4. Steven Gerrad
  5. Allan Sharer
  6. Jamie Vardy
  7. Harry Kane
  8. Raheem Sterling
  9. Dele Ali
na wengineo wengi
 
Sio kwa bei hiyo aisee, sijaona kikubwa cha kumfanya auzwe kw hiyo bei. Odoi akiacha ubishoo anaweza tu kuliko hata huyo Sancho, kw bei hiyo hapana.
Sasa Unadhani Odoi anawezaje kuacha huo ubishoo? Sancho na odoi ni kama wapo sawa kwa umri lakini sancho anaonekana yupo mqtured zaidi kuliko Odoi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real Madrid wametupa tuchague kati ya Marco Asensio na Isco, yupi bora
Isco ana 27
Asensio ana 23
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom