Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuhusu usajili wa dirisha dogo la January, 2020
Mashabiki wengi wanataka management isajili CB, RW na striker
Pia wanataka Giroud, Pedro na Batshuayi wauzwe katika kipindi hicho hicho


A poll held by Football.London saw thousands respond, with fans also identifying their wish for a new right winger, a centre-back and a striker.
 
Matic hatakiwi tena Old Traford, Atamfuata MO au arudi nyumbani?
 
Unaacha kuikumbuka historia mbichi kabisa ya kugongwa 6 na City unaikumbuka hiyo ya enzi za mwl,.....

Ngoja nikuletee historia maana najua hujui maana ya historia.
Stay tunned....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuchezi na City tunacheza na ninyi tar 29 na ni lazima tuweke hiyo historia ili ikijirudia msitutupie lawama kwamba hatukuwakumbusha mapema. Hii historia ni ya juzi tu 2014, sindano hata hivyo imeingia
 
Chelsea vs Southampton Predicted Lineup
4-3-3
________________________________________
Christian Pulisic - Tammy Abraham - Willian
Mason Mount - Jorginho - Kante
Emerson - Zouma - Rudiger - Reece James
Kepa
_________________________________________
Jorginho achezi leo ana card za njano
 
Mechi ya leo ni ngumu kwelkwel hasa kukosekana kwa kovacic Kama Chelsea hawatakaza kunauwekano game ikaisha kwa draw au Chelsea kupoteza.
 
Liverpol inatumia mfumo mmoja tuu 4-3-3, mbona opponents wanafungwa tuu? Wameshindwa kuusoma?

Au Chelsea ina wachezaji dhaifu hawawezi kuhimili mfumo mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo unaendana na wachezaji ulio nao, kwa Chelsea mfumo wa 3-4-3 naona kama unaendana na wachezaji wetu hasa wing-backs kama Alonso na azpi, wanacheza vizuri kwenye huo mfumo Zaidi ya 4-3-3 au mfumo wowote wenye backline ya 4
 
Chelsea vs Southampton Predicted Lineup
4-3-3
________________________________________
Tammy Abraham
Willian - CH Odoi
Emerson - Jorginho - N Kante - C Azpilicueta
F Tomori - K Zouma - A Rudiger
Kepa
__________________________________________________

Hii linup yenye akina Odoi sijui kama tutapata matokeo mazuri, hata tukishinda ni nadra sana. Au kocha anawapumzisha akina Pulisic na Mount?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom