Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe jamaa sasa hivi bei za wachezaji zipo juu. Hatuwezi ishi kama tupo 1990. Atletico madrid walitoa €124m kumnunua João Félix. Dogo ana miaka 20 tu. Huenda hata humfahamu.
Hao wote mpila wao ulikua wa training mazoezi yani wa kufundishwa sio wakipaji cha asiri.....kama Messi Rivadol Ronadiniho Ronaldoh nk. Kununua raia wa uingereza £120 no sawa sawa na kubeti mkeka

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani tulikuwa tunaongelea vipaji au uchezaji. Hata kama ni vipaji, unataka kuniambia hao malegend walikuwa wanaishi kwa kutegemea mazoezi. Hujui mpira wala huwajui wachezaji. Wewe umekariri tu mfano wa mchezaji mmoja au wawili wa Uingereza halafu uka generalize. Hata Brazil wako wengi wasiojituma hata kuliko Uingereza.
 
[12/24, 22:29] +265 997 69 73 40: Chelsea 'will only let one of Marcos Alonso or Emerson leave club in January' Chelsea 'will only let one of Marcos Alonso or Emerson leave club in January'| All Football
[12/24, 22:30] +265 997 69 73 40: Lampard aims KDB & Salah dig at Mourinho when promising patience with youngsters Lampard aims KDB & Salah dig at Mourinho when promising patience with youngsters| All Football
[12/24, 22:30] +265 997 69 73 40: Inter make €40m Marcos Alonso main target to fill left-back position (GdS) Inter make €40m Marcos Alonso main target to fill left-back position (GdS)| All Football
Check out Honest Wilson (@FallyJan22): Honest Wilson (@FallyJan22) | Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kovacic alikuwa anasugua bech. Madrid kamwe hawakuuzi mchezaji wao moto. Peleka ofa ya kumnunua casamiro, ramos, varane usikie majibu yake. Tofauti na wao wakija epl wanasomba wachezaji moto.

Sasa wanamtaka Auba, Arsenal matumbo yanatetemeka ndio anaondoka hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama alikuwa anasugua benchi unatakiwa kujua kuwa usajili wa wachezaji ni gambling, na hiyo gambling tulicheza vizuri kwa Kovacic
 
Kovacic alikuwa anasugua bech. Madrid kamwe hawakuuzi mchezaji wao moto. Peleka ofa ya kumnunua casamiro, ramos, varane usikie majibu yake. Tofauti na wao wakija epl wanasomba wachezaji moto.

Sasa wanamtaka Auba, Arsenal matumbo yanatetemeka ndio anaondoka hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika klabu yeyote Real Madrid ikiwemo, mchezaji hata kama ni mzuri, akipoteza mawasiliano mazuri na kocha au managemenet na au apewi namba ataondoka tu. Mchezaji anaweza kusugua benchi sio kwa sababu ni mbovu bali kwa sababu ya ushindani mkubwa
Case study
CR7 aliondoka kwenda Juve
Di maria aliondoka kwenda Man U
Kaka aliondoka kwenda AC Milan - AC Milan wakati huo ilikuwa bora kuliko Real Madrid
Diego López kwenda AC Milan
Ronaldo Nazario kwenda AC Milan
 
Dogo kanyoa
FB_IMG_1577161756479.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea winger Willian says he would be happy to stay at the club until he is 40 years old and is currently in talks over his future.
"Everyone knows how I love this club and how I enjoy to play for Chelsea. If I can, I will stay here until I am 40 years old but football is not always like this," he told Sky Sports.
 
Kuna sehemu huko nyuma nilisema Willian akicheza winga wa kushoto anacheza vizuri na pia ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kuliko akicheza winga wa kulia. Sababu kubwa Willian ni right footed na ana uwezo mkubwa wa kutumia mguu wake wake wa kulia kisawasawa. Lampard aendelee kumpanga kushoto Willian akipambana na Pulisic na hao mawinga wengine (Odoi, Mount) watagombania huko kulia
 
Ulishawahi kuwaza hii safu ya ushambuliaji itakuwaje?
______________________________________________
Willian - Timo Werner - Jadon Sancho
-----------------------------------------------------------------------------
 
Hao wote mpila wao ulikua wa training mazoezi yani wa kufundishwa sio wakipaji cha asiri.....kama Messi Rivadol Ronadiniho Ronaldoh nk. Kununua raia wa uingereza £120 no sawa sawa na kubeti mkeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo wote kwenye hili bro, mie yangu macho ....... sacho amekua tu na msimu mzuri, ila sio wa bei hiyo, huyo sacho nimemchek kama mechi mbili hivi, hakunipromise chochote cha future ni bahati tu na media za UK, mcheki mount au pulisic wanavyohold na kuposses mipira wanapromise kitu flani mbeleni tena kikubwa sana.
 
We mbona umen'gan'gania Bei Bei kwani hela unatoa wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom