lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Emenalo ndie aliyehusika na mafanikio makubwa Katika usajili wa Chelsea tangu ajiunge na klabu hiyo October 2007 na kuhusika na usajili wa akina Eden Hazard, César Azpilicueta, Kevin De Bruyne and Lukaku. Usajili mbovu wa Emenalo ni kama ule wa Papy Djilobodji kutoka Nantes. Hata hivyo Emenalo alikuwa ni mshauri tu. Mtu mwenye ushawishi mkubwa kwenye usajili na kujadili mikataba ni Marina ambaye ni right hand wa Roman. Kwa vyovyote usajili uwe mzuri au mbaya mhusika mkuu ni Marina klwa sababu Roman anamuamini na amempa madaraka yote 100% kuliko hata madaraka ya BoardAliyeirudisha nyuma Chelsea ni yule mnigeria emenelo huyu ndio aliyewasajili Barkley,drink water,zappacosta,bakayoko na sasa hivi hayupo Tena kwenye uongozi mbona Kuna sajili zimefanywa na uongozi zilikuwa bomba hasa na yule mama mrusi pamoja na abramovich mfano wa sajili ni Hazard, osca, mata, anelka, j Cole, kante,A.cole,makelele.