Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi naona mchezaji sacho tunamuhitaji ila sio kwa hiyo Bei ya £120m inawezekana kua ni msimu ndoumemkubali tu, tena kibaya zaidi viombo vya habari vya uingereza vina over rate wachezaji wao. Sacha bei yake halisi ni £60- 80m hapo poa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nawashangaa mnaosema msimu umemkubali pengine nyie mmeanza kumfuatilia msimu huu ndio maana mnasema ivyo.

Mimi kwenye mpira huwa siamini bahati jam imo ni imo tu hata uende wapi. Fanya mazoezi kiwango kitaonekana sasa hayo mambo ya msimu kumkubali mchezaji pengine ni ya Africa peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Greating from Chelsea FC to All fans. Merry Christmas
Screenshot_20191225-144654.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyokuelewa bwana ENZO, unataka chelsea ifanye usajili kama wa Hazard £30 pesa ya wastani, alivyotua chelsea ndio akawasha moto zaidi tukapata faida kubwa sana kwake.

Sasa usajili za namna hii, club inatakiwa iwe na scouting wenye jicho la kuona vipaji na kuvipigia hesabu za baadae kwamba vikitua Chelsea mazingira yatakuwa favourable kushine.

Tena usajili wachezaji wa aina ya hazard akute kuna majembe makali yanaanza 1st eleven, kocha anaanza kumuintroduce taratibu.

Sajili kama za sancho ni za kuokoa jahazi. Atupe matokeo kwa muda mfupi.



Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui lakini, subir anunuliwe! tuone.mtakuja kuelewa nachokisema, pale mtakapoanza kusema "SANCHO OUT" tutakua pa1. ......... huwezi kujua labda ataniprove wrong.
 
We jamaa mchezaji kuflop ni kitu cha kawaida kabisa. Its not granted kuwa ukimnunua mchezaji flan ataperform kama alivokuwa kwenye timu aliyotoka.

Hivi umemuona Hazard saiv alivo? Lakini nakuapia anaweza akarudi chelsea yule akashangaza.
Sijui lakini, subir anunuliwe! tuone.mtakuja kuelewa nachokisema, pale mtakapoanza kusema "SANCHO OUT" tutakua pa1. ......... huwezi kujua labda ataniprove wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa mchezaji kuflop ni kitu cha kawaida kabisa. Its not granted kuwa ukimnunua mchezaji flan ataperform kama alivokuwa kwenye timu aliyotoka.

Hivi umemuona Hazard saiv alivo? Lakini nakuapia anaweza akarudi chelsea yule akashangaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard kurudi chelsea inawezekana sana tayari kashashuka thamani kwahiyo kumtoa kimkopo kwenye timu nyingine ili haweze kucheza mipila yakutosha anga'e tena ili arudishe pesa inawezekana sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijazungumzia kushuka thamani ila nmesema Hazard anaweza akarudi chelsea na akaperform vzr kuliko hata alivo saiv kule madrid.
Hazard kurudi chelsea inawezekana sana tayari kashashuka thamani kwahiyo kumtoa kimkopo kwenye timu nyingine ili haweze kucheza mipila yakutosha anga'e tena ili arudishe pesa inawezekana sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea VS Arsenal 6-0 March 22 2014
  1. Goli la kwanza alifunga Samuel Etoo dk ya 5 tu
  2. Goli la 2 alifunga Schurrle dk ya 7
  3. Goli la 3 alifunga Hazard kwa penalti dk ya 17 baada ya mkwaju wake uliokuwa unatinga wavuni kulia mwa goli kudakwa na Alex Oxlade-Chamberlain
  4. Goli la 4 alifunga Oscar dk ya 42
  5. Goli la 5 alifunga tena Oscar dk ya 66
  6. Goli la 6 na la mwisho lilifungwa na Mo Salah dk ya 71 Goli la Salah ndio ilikuwa goli lake la kwanza kwenye jezi ya blue
  7. Mechi ilipoisha Asene Wenga hakumsalimia Jose Mourinho
LINE UP ILIKUWA HIVI
Lineup Chelsea Vs Arsenal 22 March 2014.jpg
 
Chelsea VS Arsenal 6-0 March 22 2014
  1. Goli la kwanza alifunga Samuel Etoo dk ya 5 tu
  2. Goli la 2 alifunga Schurrle dk ya 7
  3. Goli la 3 alifunga Hazard kwa penalti dk ya 17 baada ya mkwaju wake uliokuwa unatinga wavuni kulia mwa goli kudakwa na mojawapo wa Arsenal defender
  4. Goli la 4 alifunga Oscar dk ya 42
  5. Goli la 5 alifunga tena Oscar dk ya 66
  6. Goli la 6 na la mwisho lilifungwa na Mo Salah dk ya 71
we kweli lembu lembu ndo nn sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa jambo la kupendeza kumbutua Saint leo na Tammy kufunga ikiwezekana brace .
 
Juventus wanamtaka Emerson, Chelsea tunadai hatoki bila ya Paundi Mill 30
 
Uwezekano wa Sancho kuja Chelsea ni mdogo sana, Dotmund wanataka bei yao ifikiwe na Chelsea wanataka bei ishushwe
 
Chelsea imepandisha dau la Alonso kutoka Euro mil 25 hadi Euro mil 35. Sababu kubwa ni uwepo wa Conte kule San Siro
Tunakumbuka kuwa Conte aliishitaki Chelsea na kudai Fidia ya Euro mil 10 na Chelsea inaonekana wanataka kurudisha pesa yao kwa mkono mwingine. Chelsea wako tayari kumuuza Alonso huko Spain kwa bei rahisi kuliko kumuuzia Conte
 
Lampard kagundua kuwa Alonso ni Wing-back Zaidi ya Left Back na kwa hiyo atachezeshwa tu Chelsea ikiamua kutumia 3-4-3
Emerson yeye ni mzuri kwa nafasi ya LB
 
Chelsea vs Southampton Predicted Lineup
4-3-3
________________________________________
Christian Pulisic - Tammy Abraham - Willian
Mason Mount - Jorginho - Kante
Emerson - Zouma - Rudiger - Reece James
Kepa
_________________________________________
 
Chelsea are reportedly preparing a move for German international Timo Werner ahead of the January transfer window
Timo Werner ana release clause kwenye mkataba wake na RB Leipzig ya Euro mil 30, so cheap
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom