Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa Sancho binafsi siwezi kusema chochote sijawahi kumuona dogo akicheza full mechi zaidi ya kumuona kwenye YouTube.

Kwa Zaha kwangu ni BIG NO. Willan kwa umri wake he's far better than Zaha

Ila jamani Chelsea kuna scouting team, kuna mkurugenzi wa ufundi na wasaidizi wake kwa kushirikiana na kocha kweli watuletee garassa?



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi Sancho nimemuangalia mechi nyingi sana huyu dogo ni fundi kwelikweli hana mjadala kabisa kuhusiana na kiwango chake.

Zaha sijui kwa nini hakwenda Arsenal kipinfi kile. Mungu atuepushie kikombr cha Zaha kisitupate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa kweli kipite mbali ukiona mchezaji manyumbu hawamtaki ijapokuwa wanasomba ilimradi, ujue huyo mchezaji hakuna kitu.

Kwa maneno yako kuhusu sancho umeniaminisha ni mchezaji mzuri asajiliwe huko mbeleni tuwauzie madrid kama Hazard.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah itoshe sasa kuuza wachezaji. Yapasa tutengeneze ufalme wa kwetu ili wachezaji wasiwe na hamu ya kuondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom