Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa sasa tukimpata hata Halaand tu itakuwa inatosha sana.
Niseme machache kuhusu mechi ya jana, kwanza nilifurahi sana sana USHINDI WA ILE MECHI.

Hongera ziende kwa Lampard kuja na mfumo kabambe uliowadhibiti spurs na kupata point 3.

Hongera zaidi ziende kwa wachezaji kuutendea haki mfumo kwa kweli walicheza kwa kiwango kikubwa sana. Kila mmoja aliitendea haki nafasi yake.

Bado changamoto ya uzoefu inaendelea kumkabili stiker wetu TAMMY, Ni vema tukafanya usajili wa striker mzoefu wa kusaidiana na Tammy.

Well done Willian jana kapiga kazi ya kufa mtu kweli mpira upo brazili.

Safu ya ulinzi ilikuwa imara sana Tomori - Rudger - Zouma safi sana. Alonso jana hakuwa mvivu alikuwa na energy ya kutosha kabisa ijapokuwa kipa wa totte alitaka kumuua.

Energy na sprit ya jana iendelee kwenye mechi zilizobaki hope tutaendelea kupata matokeo chanja.

London is blue, No willan no party.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heading into Christmas Chelsea are:

-4th place in the league
-Into the knockout stages of the champs league
-6 points clear of Tottenham
-7 points clear of United
-9 points clear of Arsenal

Not bad considering everyone wrote us off at the start of the season.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niseme machache kuhusu mechi ya jana, kwanza nilifurahi sana sana USHINDI WA ILE MECHI.

Hongera ziende kwa Lampard kuja na mfumo kabambe uliowadhibiti spurs na kupata point 3.

Hongera zaidi ziende kwa wachezaji kuutendea haki mfumo kwa kweli walicheza kwa kiwango kikubwa sana. Kila mmoja aliitendea haki nafasi yake.

Bado changamoto ya uzoefu inaendelea kumkabili stiker wetu TAMMY, Ni vema tukafanya usajili wa striker mzoefu wa kusaidiana na Tammy.

Well done Willian jana kapiga kazi ya kufa mtu kweli mpira upo brazili.

Safu ya ulinzi ilikuwa imara sana Tomori - Rudger - Zouma safi sana. Alonso jana hakuwa mvivu alikuwa na energy ya kutosha kabisa ijapokuwa kipa wa totte alitaka kumuua.

Energy na sprit ya jana iendelee kwenye mechi zilizobaki hope tutaendelea kupata matokeo chanja.

London is blue, No willan no party.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii formation ya 3-4-2-1 tulishacheza na ikaleta matunda mazuri. Nadhani kwenye UEFA mojawapo. Nilichogundua wakati huo na jana ni kwamba, Alonso na Azpi wakipewa majukumu ya mabeki washambuliaji wanacheza vizuri tofauti na backline ya 4 ambapo wote wane wanadefend kwanza. Lampard angewekeza kwenye 3-4-2-1. Wote walicheza vizuri isipokuwa Tammy kwa kweli saa nyingine hayuko clinical kwenye final touch japo bado anapose hatari kule mbele kwa sababu ya urefu wake. tumlete Haland na Sancho matatizo ya mbele yatapungua sana
 
skysports-chelsea-team-of-the-decade_4874355.jpg
 
Tuseme ukweli, pamoja na umayai wa Mount kwa vile bado mdogo, mimi ni fan wake mkubwa napenda style ya uchezaji wake, movement zake kule mbele ni very dangerous. Anajua kutengeneza chances kuwazidi wenzake japo nao hao wengine hasa Pulisic ni wazuri kwenye hilo eneo

Kante has been impressed with Mount's contribution this term, and thinks the young playmaker has all the attributes to become a "very good player" as his career progresses.

“Out of all the Chelsea players, one player who has the biggest potential is Mason Mount,” Kante told Canal Plus.

“His combination play, his shooting technique, passing technique. How he sees the game. He could become a very good player.”
 
Mkuu huu ujasiri ni wa juu sana Ngoja nijaribu kukuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeamini sasa? Hahahaha........ mechi zote za big4 tumecheza vizuri sana, sema tu uzoefu ndio uliotuangusha, ndio mana nikiwa na ujasiri huo. halafu kilichokua kinawatisha ni jina la Morhino tu, kiuhalisia Morhino alishaishiwa tokea akiwa manyumbu.
 
BBC pundit Garth Crooks has named Chelsea trio Antonio Rudiger, Willian and Mason Mount in his latest team of the week.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom