DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
EeebohHalafu kingine kinachotucost ni kipa . ***** hatuna kipa , yule tulionae sio kipa ni pazia kabisa
EeebohHalafu kingine kinachotucost ni kipa . ***** hatuna kipa , yule tulionae sio kipa ni pazia kabisa
Huyo kawaida yake mkuu....Mipasho
Huyo hajielewi mkuuChelsea wamefungwa mara 2 na Man It'd. Na wakikutana tena wanakufa.
Tottenham wanaweza kuchukua points 4 kwa Chelsea.
Kabisa, goli la pili kwa kipa Mzoefu kama De Gea hawezi kufungwa kizembe vileHalafu kingine kinachotucost ni kipa . ***** hatuna kipa , yule tulionae sio kipa ni pazia kabisa
Hahahaaaaaaa sawa mzeebaba vipi leo mmetoka na alama ngapi?????maana mimi nimepata 1Naendelea kusema mambo mazuri bado yanakuja darajania Chelsea mwaka huu watatungezea miaka ya kuishi tofauti na wale majirani zetu akina Dully Jr, timu yake inateketea huko lakini kaweka kambi huku. Southampton timu dhaifu EPL kidogo leo waondoke na point zote Emirate
Ujue timu hua inashambulia upande wao uliobora,camily huyo azp kapata usumbufu gan mpaka umpe hizo credit?? Muonee huruma ermason japo kidogo, jama upande wake ndio ilikuwa mafanikio kwa City
We jamaa bhana ndio maana watu wanakuchana live kumbe sio bure. Ulitegemea nn kama sio hicho, yaani mcheze na mpira nyuma tena kipa na mabek alafu unajisifu kabisa eti pep kashangaa. Laiti kama city huo mchezo wenu mbovu usio na madhara sidhani kama mgegusa mpira
Mwenzako haya maback pass ndio anayasifiaYap poleni wanachelsea wenzangu. Tunapocheza na timu kubwa ndio tunaona madhaifu yetu, wapi tufanyie marekebisho.
Dirisha la usajili lazima tusajili stiker mzoefu wa kusaidiana na Tammy.
Tukifanikiwa kumsajili nathan Ake atatusaidia sana pale nyuma ni mzoefu na ana speed kwenye kukaba na kushambulia (Emerson na Alonso) wapangwe mechi zenye uhitaji wao.
Nimeshindwa kuelewa zile back pass yalikuwa ni maelezo ya mwalimu au? Tuko nyuma goal 1 tunapiga back pass nyingi badala ya kwenda mbele kutafuta goal.
Mapambano bado yanaendelea
Ina maana mumeshapindua meza kibabe????game dakika ya ngapi nw?Haya matokoe ni mazur sana kwetu kipindi cha pili ubabe ubabe
Chelsea 3 man city 2
Kwa jirani kuna msiba
Ila mmejitahidi
Ndugu timu yeyote in anayoposess mpira pasi za namna hiyo ndio zinadominate, fuatilia mechi zote za possessive teams utaliona hiloMwenzako haya maback pass ndio anayasifia
Wewe ni mganga wa kienyeji mkuu???unajuaje kama wengi hawaangalii mpira?kwani aliyeangali utube,livestreaming na wewe wa banda umiza kuna tofauti gani???Wana Chelsea tuwe makini, wachangiaji wengi humu ni wa Live streaming na wengine wanasubiri Youtube, mpira wenyewe hawajauangalia lakini wao ndio mabingwa wa kuchangia hapa
VP uneme ulikatika??Leo Aguero na Sterling wakikatiwa uneme ushindi nje nje. Reece Zouma na Tomori wanaweza kazi hiyo
Pumba tu hiz kuwazonga hatuachi sababu tunajua maana ya ushabikiWataje watu wanaoniponda zaidi ya ninyi mamluki mnaojifanya mnajua mpira wakati hamna lolote
Hahaha tena kujaga na vilink na vipicha vya twiterKuna baazi ya mashabiki wanasubili team ishinde ndo watokee, team ikiwa imefungwa namna hii hawatokeagi kabisa
Alafu zikipita siku tano ndo wanatokea