lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,384
- 25,493
Arsenal hata mubalishe makocha nyie ni wale waleNa bora usiombee apatikane maana akipatikana mtaishi kama digidigi hakika nakwambia....
Maana Khanji ndio ponapona yenu
Arsenal hata mubalishe makocha nyie ni wale waleNa bora usiombee apatikane maana akipatikana mtaishi kama digidigi hakika nakwambia....
Maana Khanji ndio ponapona yenu
Mkuu matusi ya niniMkuu ushabik isikutoe ufahamu. Mimi ni mshabiki wa chelsea tena zaidi unavyozani. Nimeandika mtazamo wangu. Jaribu kuelewa kilichoandikwa na si kukurupuka na kutokwa na kamasi mdomoni.![]()
Ukisikia daydream ndio hii sasa alishasahau kuwa tulimteketeza 2 kavu msimu ulioisha hapo Emarate na akitoka chupuchupu pale daraja la biskuti baada ya kupigwa ile comeback kali kabisa ya 1st half...
Emarate ni kaburi la wagagagigikoko like Chelsea wakija lazma wazikwe....
Atulie
Valencia hajawahi kumfunga chelsea nyumbani kwake...
Halafu siku hawatopaki basi sababu nao wanatamani kwenda 16 bora. Wakishafunguka tu biashara lazima iwakate...
Halafu Barkley hatokuwepo... aiseee wajipange...
Wewe mimi nilichokiandika na wewe unachokisema ni vitu viwili tofautiAcheni hizo kwahiyo ukishakuwa shabiki inabidi uwe kipofu???kwa mfano kule Unai anazingua tumkingie kifua??
Timu ikifanya vibaya unaisifia tu....labda niwe sielewi maana ya ushabiki ni nini?ila daima mitazamo haiwezi fanana...kipindi wewe unaona Chelsea bora yupo mwingine anaona Leicester bora kuliko Chelsea na ana factors za kusema hivyo,ndio haya yanatokea kule Liverpool,wengine wanaona Henderson captain wa hovyo na wengine wanaona ANASTABLELIZE timu,
Ukirudi united wengine wanaona LINGALDinho wa hovyo lakini wapo wanaomwangalia kwa JICHO LA TATU wanasema ni mchezaji bora kabisa akiwa HANA MPIRA......
amini kwamba huwezi kujua vyote na ndio maana hizi Platfoms zimewekwa kama darasa ili kupata views kupitia mijadala mbalimbali,usichokijua wewe mwenzio anakijua ,na asichokijua yeye wewe unakijua.....
USIJIFUNGIE KATIKA BOX LA FIKRA
AMKA.
kafie mbele...Nyie baada ya game 10 mtakuwa alipo united sasa hivi....
Kwani ulishawahi kukubali?Wewe mimi nilichokiandika na wewe unachokisema ni vitu viwili tofauti
Kuwa na adabu na kipa ghali mkuu...huyu Kepa aliyezubaaga ndio kipa ghali dunianiSure ! . Yule boya anachojua ni kujirusha tu mamaee zake .
Ukiangalia like goli la 2 na la Tatu lililokataliwa kwa VAR utagundua huyu mjinga anazingua sana
Mbona povu kali sana hilikafie mbele...
Lakin kwa sasa wameinamisha vichwa chini kwa aibu sanaNyie baada ya game 10 mtakuwa alipo united sasa hivi....
OffpointKwani ulishawahi kukubali?
Hoja yako kila siku ni kuwapiga vita fans wenzio wa Chelsea wanaowaunga mkono antiChelsea na kuwa tofauti kimaono na wewe.....
Na mimi ndio nakuelewesha kuwa binadamu hawawezi kufanana kifikra mara zote,wanapishana mawazo mapacha itakuwa nyinyi washabiki wa chelsea,
Na nikakupa mifano watu wanavyotofautiana kimawazo ktk nyuzi mbalimbali na wote ni fans wa timu moja...mfano Liverpool,Arsenal na Man utd kote wanatofautiana sembuse hapa !!!!
Tatizo unakaza sana misuli ya shingo.....Offpoint
Mbona povu kali sana hili
GOOD NEWSSSSSSSSS
Toni Rudiger trained with the rest of the squad this morning at Cobham ahead of our important Champions League game in Valencia.
View attachment 1273449
Kwa haya mawe anayotupiwa kipa wa PSG kama ndo angekuwa kipa wetu arizabaraga tungekuwa tushafungwa hata kumi
Weeeeeh tema mate chini,kipa ghali anakuwaje mbovuNaona sasa hv mshaanza kunielewa... nishawah kusema toka msimu unaanza kepa ni kipa mbovu epl nzima
Suala la Muda tu Gorgihno The Register alipigiwa kelele sana hapa lakini Leo watu wanamuelewa jinsi Mpira unavyotii akili yake,ni suala muda kijana ataonyesha thamani ya pesaNaona sasa hv mshaanza kunielewa... nishawah kusema toka msimu unaanza kepa ni kipa mbovu epl nzima
Suala la Muda tu Gorgihno The Register alipigiwa kelele sana hapa lakini Leo watu wanamuelewa jinsi Moira unavyotii akili yako,ni suala muda kijana ataonyesha thamani ya pesa