Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe ni mganga wa kienyeji mkuu???unajuaje kama wengi hawaangalii mpira?kwani aliyeangali utube,livestreaming na wewe wa banda umiza kuna tofauti gani???
Naangalia nyumbani, ukija Arusha wewe nibeep tu nitakuleta nyumbani na uje hasa siku Arsenal wakicheza na Chelsea. Utaangalia mpira huku ukila nyama choma na ugali
Vigezo na masharti kuzinghatiwa
 
Wewe ni mganga wa kienyeji mkuu???unajuaje kama wengi hawaangalii mpira?kwani aliyeangali utube,livestreaming na wewe wa banda umiza kuna tofauti gani???
Sio kila anayechangia hapa anaumiza vibanda Ndugu, na ndio tatizo la keyboard
 
VP uneme ulikatika??
Umeme ulikatwa Ndugu Aguero na Sterling wamehangaika sana, vimakosa tudogo dogo za hao dogo wetu wa backline ndio yamezaa hayo magoli miwili ya De Bruyne na Mahrez. Bado tuna nafasi kubwa tu ya kujibu mapigo darajani
 
Sterling mlimdhibit tangu mwanzo nimefurahi ila KDB Leo ndo alikua kirusi
Umeme ulikatwa Ndugu Aguero na Sterling wamehangaika sana, vimakosa tudogo dogo za hao dogo wetu wa backline ndio yamezaa hayo magoli miwili ya De Bruyne na Mahrez. Bado tuna nafasi kubwa tu ya kujibu mapigo darajani
 
Still we haven't got the key against big matches ,what I think the Chelsea manager is working on it ,the second round we shall demonstrates what blues supporters wish to s3e..Blues is the color
 
Emerson leo katuangusha
Kepa ndie katuua, goli la tatu lingekubaliwa lilikuwa na Kepa
Kwa ujumla Chelsea ilikuwa ni timu bora kuliko City ni kwamba tu mpira wa miguu ni mojawapo wa mchezo ambao hauko fair. Timu bora inaweza fungwa na timu ya kawaida tu
Wakija darajani hawa tutawalamba kisawasawa mbele ya KingNgwaba na Dully Jr

Siku utakapojua kuwa Project ya Vijana ilimshinda Wenger ndiyo utafahamu kuwa Lampard hawezi kushinda mechi yoyote ya Top 6
 
MANCHESTER CITY 2-1 CHELSEA, Premier League: Post-match reaction

By Mlanzi

It's okay it's okay sote tulizitaka points tatu na kingine tulitaka sana kuona kiwango chetu dhidi ya Manchester City. Sure vijana yalikuwa na sloppy mistakes but kiwango chetu kilikuwa kizuri ukizingatia tulikuwa nyumbani kwa City. Amini usiamini, kuna mambo mazuri yanakuja katika kikosi chetu.

Pamoja na mambo mengine, Kepa Arrizabalaga Revuelta alikuwa average kiasi katika hii game. Fikayo Tomori alikuwa mzito kiasi cha kupigwa tobo lililozaa bao. Kurt Zouma na Jorge Luiz Frello Filho a.k.a Jorginho walikuwa down kiasi. Nadhani hangover ya International break imechangia japo kuwa defence yetu ilikosa umakini.

Team iliuanza vyema mchezo tena ikienda mguu kwa mguu na wenyeji. Bao la kwanza kutoka kwa N’Golo Kanté dakika ya 21 kijana anaelifahamu vyema lango la Manchester. Team iliendelea kuleta matumaini huku ikionekana ku dominate mchezo.

Kosa la kupoteza mpira katika midfield liliwapa City chance ya kusawazisha kupitia kwa De Bruyne. Poor defending kutoka kwa defense yetu iliwapa Manchester City nafasi ya kuongeza bao kupitia kwa Mahrez.

Second half ilikuwa imetawaliwa na City huku wakitengeneza chances zao kutokea kwenye middle.

Mabadiliko mawili kutoka katika game yetu iliyopita ambapo César Azpilicueta alirejea katika nafasi yake na badala ya Reece James, na Jorginho kurejea kutoka katika suspension badala ya Mason Mount kukamilisha three-man midfield wakiwa sambamba na N’Golo Kanté pamoja na Mateo Kovačić.

James aliingia upande wa kulia na kupishana na Cesar Azpilicueta mala baada ya Emerson kupumzishwa.

Dakika ya 73 team ili switch na kuanza kutumia 4-2-3-1 baada ya Jorginho kumpisha Mason Mount, na Mitchy Batshuayi kumpumzisha Tammy Abraham.

Bao la N'golo Kanté’s ni bao la tatu msimu huu

City wanakuwa points tisa nyuma ya Liverpool na Chelsea tume-drop mpaka nafasi ya nne tukiwa mbele kwa tofauti ya points saba kutoka nafasi ya tano inayoshikiliwa na Wolves kwa sasa.

Next up: tunawafuata Valencia siku ya Juma tano katika UEFA Champions League, na hii itakuwa more important game.

KTBFFH
 
Wale wapaki basi tutawapapasa vizuri tu leo..save my comment
Haina shida... as far as huwa mnashinda match moja kila mwezi basi sioni leo mkitoboa... kama mkijitahidi sana basi ni sare tu. Ila kipigo ni asilimia kubwa sana... Mark my words
 
Naangalia nyumbani, ukija Arusha wewe nibeep tu nitakuleta nyumbani na uje hasa siku Arsenal wakicheza na Chelsea. Utaangalia mpira huku ukila nyama choma na ugali
Vigezo na masharti kuzinghatiwa
Kwani kuangalia nyumbani ndio nini mkuu?ndio kuna tofauti na anayeangalia bandani au bar?????kiasi uanze kujiona wewe ndio unauona vizuri mpira kuliko wengine!!!!hahahaaaa wenzio tunaacha kicheki home tunaenda kufata radha ya soka kwenye mikusanyiko,ndio maana hamuwezi kuface changamoto maana mshazoea kujifungia ndani,mkibustiwa kidogo tu mnachanganyikiwa...teh teh
Sasa leo nimeamini kumbe hiki kitimu cha wala ganja wa Arusha,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom