Football ni mchezo wa mbinu bro, First half Chelsea ilitawala na ikawa hatari sana ikiwa na mpira , midfield ya city ilizidiwa pande zote , ila second half city walisoma mchezo wetu na kubadili plan, hapa ndipo wengi wanashindwa kuelewa nn kilitokea , ... City walipress Chelsea (kukaba kuanzia juu) tight marking kati ya midfield , kilichokuja kutuponza Chelsea ni kukosa maarifa ya ziada ya kupiga mipira mirefu kutokea golini kwetu, timu yetu ilishindwa kumove kwani mpira ulipoanziwa kwa zouma au watu wengine , umeona umekabwa , kwa nn usifanye long balls? Point city wakamaliza game pale jorginho alipotoka kwani hakukua na through pass za kutosha , all in all Chelsea bado tuna safari hasa tunapocheza na timu zenye waalim wenye kuusoma mchezo ma kuubadili kwa haraka, Frank bado anahitaji uzoefu zaid hapo he is doing good.