Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kiwango vijana walioonyesha vijana leo ni timu mbili tu za EPL zinaweza kuifunga Chelsea nazo ni Man City na Liverpool, hao wengine ni kugawa dozi tu mpaka kieleweke

Chelsea wamefungwa mara 2 na Man It'd. Na wakikutana tena wanakufa.

Tottenham wanaweza kuchukua points 4 kwa Chelsea.
 
Naendelea kusema mambo mazuri bado yanakuja darajania Chelsea mwaka huu watatungezea miaka ya kuishi tofauti na wale majirani zetu akina Dully Jr, timu yake inateketea huko lakini kaweka kambi huku. Southampton timu dhaifu EPL kidogo leo waondoke na point zote Emirate
 
Nilikiona leo nikiwa kama mpenzi hasaa wa chelsea.

Batshuayi ni wakuuza kabisa, unaingia sub 70 min mkiwa goli moja nyuma, unapoteza mpira unacheka. Kila mda uko offside..
Dirisha la usajili tunahitaji sana back-up ya tammy. Vinginivyo we will never have an option be.

Tammy ni talent nzuri,, lakin anahitaji mazoezi ili azidi kua strong na pia concentration yake leo ilikua ndogo sana.
He loose the ball two times, and we were punished.

Mason ni kipaji cha juu,, ajifunze tukaba zaidi naamin ataichukua namba ya kovacic kiurahisi kabisa.

Giorginho. Ni mhimili wa timu. Kuanzia utulivu, ulinzi hadi mashambulizi. Nikionaga anafanyiwa sub tu najua no creativity anymore.

Emmerson concentration yake always ni ndogo hasa kwenye big match,, nadhan tukimaliza kifungo moja ya sehemu ya kuongeza mchezaji ni left back

Azpilicueta, superbly play.. He deserve the spot day in day out.

All and all, Ze blues forever
 
We jamaa bhana ndio maana watu wanakuchana live kumbe sio bure. Ulitegemea nn kama sio hicho, yaani mcheze na mpira nyuma tena kipa na mabek alafu unajisifu kabisa eti pep kashangaa. Laiti kama city huo mchezo wenu mbovu usio na madhara sidhani kama mgegusa mpira
Man city leo kafanyiwa high pressing mpaka wakapasiana kwa 85% pass accuracy dhidi ya Chelsea 89%. Hii sio kawaida ya Guardiola
 
Chelsea wamefungwa mara 2 na Man It'd. Na wakikutana tena wanakufa.

Tottenham wanaweza kuchukua points 4 kwa Chelsea.
Naheshimu mawazo yako mkuu, Man U wametufunga ile mechi vijana ndio walikuwa wanaanza EPL na kocha mgeni EPL makosa makosa yalikuwa ni mengi. Hayo makosa makossa leo wewe shahidi yamepungua sana na backline imebalance. Karabao ile sio mechi ya yakuhesabia, vijana walijaribishwa na wakongwe walicheza kwa tahadhari wasipate majeruhi, unajua hata Liverpool huwa wanatolewa kwenye hizi mechi kwa sababu hii hii niliyotaja
 
Umeongea ufundi zaidi
Nilikiona leo nikiwa kama mpenzi hasaa wa chelsea.

Batshuayi ni wakuuza kabisa, unaingia sub 70 min mkiwa goli moja nyuma, unapoteza mpira unacheka. Kila mda uko offside..
Dirisha la usajili tunahitaji sana back-up ya tammy. Vinginivyo we will never have an option be.

Tammy ni talent nzuri,, lakin anahitaji mazoezi ili azidi kua strong na pia concentration yake leo ilikua ndogo sana.
He loose the ball two times, and we were punished.

Mason ni kipaji cha juu,, ajifunze tukaba zaidi naamin ataichukua namba ya kovacic kiurahisi kabisa.

Giorginho. Ni mhimili wa timu. Kuanzia utulivu, ulinzi hadi mashambulizi. Nikionaga anafanyiwa sub tu najua no creativity anymore.

Emmerson concentration yake always ni ndogo hasa kwenye big match,, nadhan tukimaliza kifungo moja ya sehemu ya kuongeza mchezaji ni left back

Azpilicueta, superbly play.. He deserve the spot day in day out.

All and all, Ze blues forever
 
camily huyo azp kapata usumbufu gan mpaka umpe hizo credit?? Muonee huruma ermason japo kidogo, jama upande wake ndio ilikuwa mafanikio kwa City
 
Ila marehemu alikua mbabe jamani. Leo kapigwa vitasa kimefika cha tatu hadi kaamuliziwa.
 
Mount - Bat Man - Willian
Kovaci - Jojinyo - kante
James - tomori - zouma - Azipl
Kepa

Hicho kikosi ndio kilifaa kuanza kwa jinsi nilivyo uona huu mchezo. Huwezi kuwa serious kumpanga Abraham. Dogo mchele sana
Sawa hii mechi itarudiwa badae utachezesha hiko kikosi chako mkuu
 
Nilikiona leo nikiwa kama mpenzi hasaa wa chelsea.

Batshuayi ni wakuuza kabisa, unaingia sub 70 min mkiwa goli moja nyuma, unapoteza mpira unacheka. Kila mda uko offside..
Dirisha la usajili tunahitaji sana back-up ya tammy. Vinginivyo we will never have an option be.

Tammy ni talent nzuri,, lakin anahitaji mazoezi ili azidi kua strong na pia concentration yake leo ilikua ndogo sana.
He loose the ball two times, and we were punished.

Mason ni kipaji cha juu,, ajifunze tukaba zaidi naamin ataichukua namba ya kovacic kiurahisi kabisa.

Giorginho. Ni mhimili wa timu. Kuanzia utulivu, ulinzi hadi mashambulizi. Nikionaga anafanyiwa sub tu najua no creativity anymore.

Emmerson concentration yake always ni ndogo hasa kwenye big match,, nadhan tukimaliza kifungo moja ya sehemu ya kuongeza mchezaji ni left back

Azpilicueta, superbly play.. He deserve the spot day in day out.

All and all, Ze blues forever
Conte aliyemuuza Diego Costa alaaniwe daima hadi Chelsea FC itakapopata striker hatari kama yeye, 7bu leo Chelsea ingekuwa na striker wa nguvu isingefungwa.
 
Kwa kiwango vijana walioonyesha vijana leo ni timu mbili tu za EPL zinaweza kuifunga Chelsea nazo ni Man City na Liverpool, hao wengine ni kugawa dozi tu mpaka kieleweke
Huna adabu kwa wanaokukong'ota mkuu,...man u kakupiga game mbili mfululizo ila unamkubali liver uliyesuluhu nae......kichaa kinakuanza nini mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom