nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,496
- 11,201
Tammy ni mzuri lakini si mchezaji wa kutegemea kwenye mechi kubwa,Hahahah... wewe jamaa unachekesha umati... yaani unamponda Abraham huku ukimpraise barshuay. Haupo serious kabisa yani...
mtazame Tammy anayecheza na Liverpool au Man United si yule anayecheza na Southampton.