42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Hata hvyo man city huwa hapaki basi... hivyo chelsea lazima tu atapata magoli...
Hasira hasara, zinaweza kumfanya pia afungike kirahisi
Hasira hasara, zinaweza kumfanya pia afungike kirahisi
Hujui ulicho kiandika labda nikukumbushe combined kati ya Man utd na Liver hakuna mcheza yeyote wa Man utd aliekuwepo wote walikuwa wa Liverpool, kwaiyo toa hicho kisingizio kuwa lazima mmoja awepoHuyo paul ince anazeeka vibaya,maana chelsea hakuna mchezaji wa kumweka nje mchezaji yeyote wa city .....kikosi unachoweza kukifanyia combinenga ni cha liver tu,kwa mbaaaaali spurs na leicester unaona kuna watu wawili watatu wanaweza kuingua....
Hivi umweke Mahrez nje eti uchomeke huo ushubwada willian!!!!
Umweke Laporte,Stones na Otamendi nje uweke hiyo takataka Tomori na zouma,
Umweke Bernado,Silva na Rodri uweke hizo ngalangala Mount na kante khaaaaaaaaa!!!!!
Kwakuwa ni kombinenga yaani lazma na wao wawepo sawa lakini kiuwezo hata Fodden hakuna wa kumweka benchi hapo,
Nyie chelsea vichezaji vyenu ni softsoft vitoto havina tofauti na vile vya asenane
Wewe ni mgeni humu jifunze wengine wanavyowasilisha hoja zao jilinganishe na wewe. Naamini wewe iyo kichwa kigumu umenielewa hakuna anapingwa kwenye hoja zake utapingwa kama huna busara.Kaka hapo kuna lugha mbaya ipi
Onesha lugha mbaya niliyotumia kaka ,pia mjifunze kuacha watu wawe huru kutumia fikra zao..hili ni jukwaa huru,kingine mkubali kupokea changamoto sio kila anayekuja hapa kumwambia anafuta kick
Jiangalie wewe,hapa mna tabia ya kufundisha watu namna ya kuwasilisha hoja zao ,yaani wote mnataka tuongee ujinga kama mnaoongea nyinyi wa kusifia hiki kitimu cha kuungaunga.Hilo jambo futa kichwani kwako bwana mdogo,alafu kabla ya kusema ufanye uchunguzi,mimi na wewe nani mgeni??Wewe ni mgeni humu jifunze wengine wanavyowasilisha hoja zao jilinganishe na wewe. Naamini wewe iyo kichwa kigumu umenielewa hakuna anapingwa kwenye hoja zake utapingwa kama huna busara.
Ushapanic sasa. Hakuna mtu alokwambia usifie timu wala sema mihemko yako inakupeleka vibaya. Nilichokwambia ni urekebishe lugha yako.Jiangalie wewe,hapa mna tabia ya kufundisha watu namna ya kuwasilisha hoja zao ,yaani wote mnataka tuongee ujinga kama mnaoongea nyinyi wa kusifia hiki kitimu cha kuungaunga.Hilo jambo futa kichwani kwako bwana mdogo,alafu kabla ya kusema ufanye uchunguzi,mimi na wewe nani mgeni??
Nyie raia humu mjiandae kisaikolojia
City 5 Chelsea 1
Nasikia FA wamewatishia kiwapiga ban city endapo watawadhalilisha tena kama game iliyoisha ya 6 o'clock
Kila lililo la kheri chama langu la utotoni Manchester City
Na ndio sababu ya kumpiga ban Bernado ili mpunguziwe dhahma.,..gharika la magoli,na walikuwa wanatafuta sababu wampige ban na stearling hahaaaaa wamesahau tuna Mahrez, shida ipo palepale
Na ndio sababu ya kumpiga ban Bernado ili mpunguziwe dhahma.,..gharika la magoli,na walikuwa wanatafuta sababu wampige ban na stearling hahaaaaa wamesahau tuna Mahrez, shida ipo palepale
MUNGU IBARIKI CHELSEA.View attachment 1269787
UnaumwaNyie raia humu mjiandae kisaikolojia
City 5 Chelsea 1
Nasikia FA wamewatishia kiwapiga ban city endapo watawadhalilisha tena kama game iliyoisha ya 6 o'clock
Kila lililo la kheri chama langu la utotoni Manchester City
Umerudi tena kiongoziNyie raia humu mjiandae kisaikolojia
City 5 Chelsea 1
Nasikia FA wamewatishia kiwapiga ban city endapo watawadhalilisha tena kama game iliyoisha ya 6 o'clock
Kila lililo la kheri chama langu la utotoni Manchester City