Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tutakutana baada ya matokeo naona fans wa man u, arsenal ndo wanaoteseka Sana kuliko mashabiki wa Chelsea tunaomba tu baadae msikimbie Uzi wetu au kutoa visingizio Chelsea ikipata point 3 au draw.
 
Ila wewe jamaa huoni kila mtu anakuponda kutokana na tabia yako jirekebishe basi mbona busara haina kosi kamanda binafsi nilikupuuza ile juzi nikaona labda katika makuzi yako uliruka stage frani hivi ya ujuaji nahyo yote nikutokana na kufungiwa kwenye mageti au kukaa sana na Dada zako wakati wa ukuaji....mimi ni Chelsea haswaa ila sio kila jambo unakoment sometime ukiona umevulugwa unavunga tu sio hadi ukoment sasa on a unavyoaibika broo
Wataje watu wanaoniponda zaidi ya ninyi mamluki mnaojifanya mnajua mpira wakati hamna lolote
 
Wataje watu wanaoniponda zaidi ya ninyi mamluki mnaojifanya mnajua mpira wakati hamna lolote
Wewe unajua?achaga dharau kijana huwa hazikuongezei kitu zaidi ya kujichoresha tu.......

Piga chelsea 5 tu ili kuwe na amani hapa leo
 
Ila wewe jamaa huoni kila mtu anakuponda kutokana na tabia yako jirekebishe basi mbona busara haina kosi kamanda binafsi nilikupuuza ile juzi nikaona labda katika makuzi yako uliruka stage frani hivi ya ujuaji nahyo yote nikutokana na kufungiwa kwenye mageti au kukaa sana na Dada zako wakati wa ukuaji....mimi ni Chelsea haswaa ila sio kila jambo unakoment sometime ukiona umevulugwa unavunga tu sio hadi ukoment sasa on a unavyoaibika broo
Wewe sio fan wa Chelsea usituaminishe tuamine hivyo, ndege wanaofanana huruka pamoja. Huwezi kuwa familia moja halafu unaungana na kambi nyingine kumshambulia Ndugu yako au labda maana ya fan hujui.
 
Wewe unajua?achaga dharau kijana huwa hazikuongezei kitu zaidi ya kujichoresha tu.......

Piga chelsea 5 tu ili kuwe na amani hapa leo
Sijui kwa nini walikuachia mapema hao polisi, si wangekuchelewesha angalau game ya leo ipite maana una damu ya kunguni wewe, pamoja na timu yako kulizwa lizwa bado unapumua je wangekuwa wanashinda kama Liverpool si mtaani tungepata karaha
 
Kikosi
FB_IMG_1574527035027.jpeg
 
Kikosi Cha Leo Cha chelsea murua kabisa sioni sababu kwanini tusimfunge man city.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom