SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Umemshindwa man utd utamweza city?Yote kheri lakin haina kabaya
Utakuja tu darajani

Umemshindwa man utd utamweza city?Yote kheri lakin haina kabaya
Utakuja tu darajani

Nami nashangaaHili la tatu umelitoa wapi
Game ya Leo hatujacheza vizuriYote kheri lakin haina kabaya
Utakuja tu darajani
Usikalili maisha hata huyo man u atakuja tu pale machinjionUmemshindwa man utd utamweza city?![]()
![]()
Nimegundua tuna wachezaji wengi sana ambao utoto unawasumbuaGame ya Leo hatujacheza vizuri
Bora hata tumejitaidSubiria mechi ikiisha nitakugaia matokeo kwa sasa sijui ni ngapi ngapi
Kushinda Chelsea angeshinda sema sielewi nini kimewapata mpaka muda huu.Shida unaleta ushabiki mpaka kwenye mkeka. Kwahyo ukabeti Chelsea anashinda?
Mpira tuliocheza Leo hata sijauelewa.Pasi nyingi lkn za nyuma, hicho ndicho kilichotugharimu leo. Yani utakua Zouma kapiga pasi nyingi kuliko Jorginho
Yani tunamiliki mpira lkn hatu force mashambulizi tunabakia tunapiga pasi nyingi upande wetuMpira tuliocheza Leo hata sijauelewa.
Ni kweli mkuu lakin ndo mchezo ulivyoNimegundua tuna wachezaji wengi sana ambao utoto unawasumbua
Kushinda Chelsea angeshinda sema sielewi nini kimewapata mpaka muda huu.
Kuna jamaa watatu walikuwa wamemwandama kinoma utazan wao ndo wakabaji kumbe ni washambuliajiEmerson leo katuangusha
Kepa ndie katuua, goli la tatu lingekubaliwa lilikuwa na Kepa
Kwa ujumla Chelsea ilikuwa ni timu bora kuliko City ni kwamba tu mpira wa miguu ni mojawapo wa mchezo ambao hauko fair. Timu bora inaweza fungwa na timu ya kawaida tu
Wakija darajani hawa tutawalamba kisawasawa mbele ya KingNgwaba na Dully Jr
Kwa kiwango vijana walioonyesha vijana leo ni timu mbili tu za EPL zinaweza kuifunga Chelsea nazo ni Man City na Liverpool, hao wengine ni kugawa dozi tu mpaka kieleweke