DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Hivi yule aliyefinywa akaserereka 1km then KDB akatia msumari ni nani mkuu?Umeme ulikatwa Ndugu Aguero na Sterling wamehangaika sana, vimakosa tudogo dogo za hao dogo wetu wa backline ndio yamezaa hayo magoli miwili ya De Bruyne na Mahrez. Bado tuna nafasi kubwa tu ya kujibu mapigo darajani
Hahahahaaaaaa