DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Bernado wamefanya hila asicheze mkuu,Mbele una Sterling, Bernado, Aguero, Jesus halafu ufungwe? Haiwezekani hata siku moja
Bernado wamefanya hila asicheze mkuu,Mbele una Sterling, Bernado, Aguero, Jesus halafu ufungwe? Haiwezekani hata siku moja
Sasa kama hamjajipanga kwanini muingize timu uwanjani mkuu?Tukija tumejipanga vizur hawa jamaa tutawapiga
Tulia ngoma ya kitoto haikeshiSasa kama hamjajipanga kwanini muingize timu uwanjani mkuu?
Shida unaleta ushabiki mpaka kwenye mkeka. Kwahyo ukabeti Chelsea anashinda?Mkeka wangu !!!!
Wanazojiskia wapinzaniHuyu kepa huwa anapenda kufungwa goli ngapi kwa game moja?

Ndugu, mtajipanga muda gani? Hapa mkipata cha maana ni draw.Tukija tumejipanga vizur hawa jamaa tutawapiga
Subiria mechi ikiisha nitakugaia matokeo kwa sasa sijui ni ngapi ngapiTupe matokeo Mkuu
Man cty 3 vs che 1Tupe matokeo Mkuu
Subiria mechi ikiisha nitakugaia matokeo kwa sasa sijui ni ngapi ngapi
Man cty 3 vs che 1