Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu punguza jazba, inaonekana huyo jamaa alikukera sana kuonesha mahaba mbele.
Yani duniani kuna mawatu ya ajabu sana, huwezi kuridhika kirahisi rahisi tu hivyo kuwa Chelsea ni timu kubwa kiushindani ilihali hata msimu mmoja tu haijamaliza kimafanikio chini ya Lampard.

Je vipi epl top 6 ishawahi kuifunga timu gani chini ya Lampard?

Ishachukua kombe gani chini ya Lampard?

Je ishaeleweka kuwa na football consistency bora sawa na Man City au Liverpool?

So kuna mahabuba wa mpira walio vilaza na washabiki wa mpira waliobobea kiuchambuzi na kuangalia mbali zaidi.
 
Nyani haoni kundule. Tunashangilia kwasababu dua zenu zimefulia. Naona sasaiv mmeanzisha top 6 siyo tena top 4.
Yani duniani kuna mawatu ya ajabu sana, huwezi kuridhika kirahisi rahisi tu hivyo kuwa Chelsea ni timu kubwa kiushindani ilihali hata msimu mmoja tu haijamaliza kimafanikio chini ya Lampard.

Je vipi epl top 6 ishawahi kuifunga timu gani chini ya Lampard?

Ishachukua kombe gani chini ya Lampard?

Je ishaeleweka kuwa na football consistency bora sawa na Man City au Liverpool?

So kuna mahabuba wa mpira walio vilaza na washabiki wa mpira waliobobea kiuchambuzi na kuangalia mbali zaidi.
 
Yani duniani kuna mawatu ya ajabu sana, huwezi kuridhika kirahisi rahisi tu hivyo kuwa Chelsea ni timu kubwa kiushindani ilihali hata msimu mmoja tu haijamaliza kimafanikio chini ya Lampard.

Je vipi epl top 6 ishawahi kuifunga timu gani chini ya Lampard?

Ishachukua kombe gani chini ya Lampard?

Je ishaeleweka kuwa na football consistency bora sawa na Man City au Liverpool?

So kuna mahabuba wa mpira walio vilaza na washabiki wa mpira waliobobea kiuchambuzi na kuangalia mbali zaidi.
Na hao vilaza hapa ndio wamejaa,
 
USAJILI

1. Beki wa kulia (Azipuleta apumzike)
2. Beki wa Kushoto (Alonso apangwe baadhi ya match)
3. Kiungo Mkabaji (kusaidiana na kante)
4. Mbadala ya willan/pedro wakiondoka
5. Mshambuliaji mkali wa kusaidiana na Tammy.

Lazima hizo nafasi zifanyiwe usajili kuongeza upana wa kikosi na ushindani wa wachezaji.
We sasa ndiwe Mshabiki unayeiangalia timu kwa jicho la 3 siyo wengine tunashabikia kimihemuko tu bila ya kuangalia mapungufu yetu...
 
Hili jukwaa limejaa mamluki wanaojiita mashabiki wa Chelsea, mashabiki wenzangu muwe macho. Hao ni fuata upepo. Wakati Chelsea ina hali mbaya hawaonekani jukwaani, sasa hivi mpira unachezwa darajani na tuna kocha mzuri wamekuja kiaina aina.
Mtawajua kwa matendo yao na maneno yao
 
Afadhali tumemalizana nao vizuri huku tukiwa bado tunaongoza kundi, hao Valencia na Lile tutaelewana nao tu, hata kwa magoli ya mkono tuitasonga mbele. Hakuna mtu kwenda Europa hapa
Inatakiwa kivyovyote vile tumpige Valencia au ata draw ili wakikutana wao ajax na Valencia wapambane kivyao..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom