Ushatiwa 4 hadi sasaUshabiki wa akili hizi ndiyo naukataaga kabisa na sijui kwanini kuna mawatu aina hii duniani.
Leo asubuhi nilimwambia Jamaa yangu mmoja kuwa leo Chelsea tuna mtihani mgumu sana kuifunga Ajax 7bu history yao ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2018/19 si mbaya kushinda ugenini na hata Tottenham alifanya kazi ya ziada kuitoa ugenini baada ya kuanza kufungwa uwanja wa wimble, Jamaa "oooh... tuna kikosi kizuri sana na bado majeruhi kikosi cha kwanza hawajarudi, wakirudi tutakuwa ni timu tishio sana Ulaya"
Bila shaka atakuwa kashanielewa mpaka sasa hivi.
Mi ni Mshabiki wa Chelsea lakini huwa sina mahaba hadi kuwa kipofu kushindwa kudadavua ukweli.



Na dakika ni ya 55, naona tutakula 7 leo ili akili zitukae sawa vichwaniUshatiwa 4 hadi sasa

Nimeghairi sio 5 tena nshaona dalili tukikazakaza kidogo hata 7 zipo hapa
Chelsea inahitaji zaidi ya miaka miwili na wakiwa wana mwendelezo mzuri sawa na walivyo sasa hivi epl, mbali na hapo Lampard bado ana upepo tu wa muda sawa na alivyoanza Ole Sendeka pale Mwantesa Utd 2018/19 kwa kushinda mechi 11 mfululizo afu akawa vibaya kimatokeo hadi hivi sasa...Kipa na mabeki wanazingua kishwnzi




Mkuu punguza jazba, inaonekana huyo jamaa alikukera sana kuonesha mahaba mbele.Kuhusiana na Strikers, nilimwambia pia Jamaa kuwa bado hatujawa na strikers wa uhakika kama Diego Costa au Didie Drogba pa1 na kupata magoli mengi sababu pia hatuna master class passes za final assists kama Sesc Fabregas.
Jamaa limenipinga weeee....sasa nilichokinena kimeonekana leo hii ...![]()
MTU anaefurahia huu ushindi ana element za element za kishoga..We are the blues View attachment 1255120
MTU anaefurahia huu ushindi ana element za element za kishoga..
Mbona hawa ni toka zamani mkuu,MTU anaefurahia huu ushindi ana element za element za kishoga..
Hili eneo sio lako ww jikatae tu
Dume zima linafurahia ujinga