Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,025
- 42,349
Aache kumfananisha pulisic na upuuz
Usimfananishe Mr maasist na guchilo pepe
Usimfananishe Mr maasist na guchilo pepe
Aiseeeehhh yaani unahisi kama ligi ishaishaKuna watu hawaamini kuwa chelsea ipo juu yao
@asernl
Dogo kawanyanyasa sana hawa watu leoView attachment 1245744
Acha kufananisha Pepe na mashuduPepe ana goli ngap mpka sasa..
Sio asernl ni Arsenal, Ras simba tunaomba uje ufundishe watu huku jamii forum.Kuna watu hawaamini kuwa chelsea ipo juu yao
@asernl




Hahahaaaaaa sasa na yeye itabidi apige freekick mbili ndani ya dk 15 na zote atie nyavuni.....hahahaaaaaaaInatakiwa Pepe na yeye apige hat trick kama Lee Caputeinn ..maana naona tumepigwa pale...
Wewe bado unang'ang' ana kumtetea pepe, hiyo ni sawa na kubeba gunia la mavi kichwani lazima unuke tuAcha kufananisha Pepe na mashudu
Wewe bado unang'ang' ana kumtetea pepe, hiyo ni sawa na kubeba gunia la mavi kichwani lazima unuke tuAcha kufananisha Pepe na mashudu
Tunasemaga hapa kila siku ila tunaoneka wachimba chumviHatunaga Kipaa
Huyu hanaga hata save moja
HONGERENI KWA POINT 3. USHINDI MNONO UGENINI.
MAN U U'R NEXT.
EPL au All competition?
Kipa ghaliTatizo ni Kepa huyu jamaa hata dunia inatushangaa. Bora tungechukua kipa wa Derby
AiseeehhhhChelsea sasa hv tuna tatizo la kipa... kipa wetu hana msaada wowote... ni kipa ovyo kabisa
Hahaha ili muipate mshawishini Emery abeti ili awapange Willock, Saka na Nelson hapo mbeleTutapatia kwa arsenal ...muhimu ushindi mzee![]()
All.EPL au All competition?
Hiv yule Leno ana clean sheet ngap?Hahahaaaaaa sasa na yeye itabidi apige freekick mbili ndani ya dk 15 na zote atie nyavuni.....hahahaaaaaaa