Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahaha yaani umemaliza tu kuandika na kupost kua unatamani clean sheets kamba mbili zishaingia.

Yaani nyinyi clean sheet ni kama bikra ikutwe Kimboka.

Piga mbuzi hao
Tutapatia kwa arsenal ...muhimu ushindi mzee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
najua kwa sasa wale wapinzani wetu watakomalia Clean sheet na walisemaga wanatupa game 10, tutakuwa nafasi 15
Lampard atajilaumu sana kuwatoa akina Willian maana baada ya hapo Chelsea ilipoteza uelekeo kabisa kutengeneza nafasi na kupoteza mipira hovyo kati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom