Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Mchezaji anaenda kwenye mkopo baada ya kukosa namba first teamMbona unaleta vichekesho vya kuwaongela madogo waliokuwa kwa mkopo ... au umeanza kushabikia mpira mwaka jana nini ??
Mchezaji anaenda kwenye mkopo baada ya kukosa namba first teamMbona unaleta vichekesho vya kuwaongela madogo waliokuwa kwa mkopo ... au umeanza kushabikia mpira mwaka jana nini ??
Hamna uwezo wa kumiliki mchezaji kama yule. Mtampotezea muda tuKweli kabisa,kuna kipindi tulitaka tumsogeze pale kwa maKING wa London ,mimi binafsi namkubali sana Ruben anajua ....
haya hizi ndio prediction za charlie nicolas..View attachment 1245130
Huyu jamaa anaichukiaga sana Chelsea. Leo Arsenal akimfunga Crystal Palace hizo golinaacha kushabikia mpira.haya hizi ndio prediction za charlie nicolas..View attachment 1245130
Usimfananishe Mr maasist na guchilo pepeKama pulisic![]()
Asante.19:30
Majamaa yanachezaga mpira mgumu sana wa kukamia na kama wachezaji wetu hawatakuwa makini sana kuna hati hati ya kufungwa au kusuluhu, ni vyema sana tuwawahi 2-0 kabla ya half time maana tuna magoli machache sanaKiukwel game yetu na bunley ni ngumu Sana
Kiukwel game yetu na bunley ni ngumu Sana
Wewe hadi leo hujamuelewa Nico Pepe?Usimfananishe Mr maasist na guchilo pepe
Pepe mzee wa ligi ndogo na mechi za mchanganiWewe hadi leo hujamuelewa Nico Pepe?
Ng'olo Kante anapona lini hivi wakuu?Nimeona pulisic ameanza jamani


Yeah kaanzaNimeona pulisic ameanza jamani
Nahisi muda si mrefu Lampard hataki kuwaharakisha unaweza tibua injury ikafaikia wakati timu haina mchezaji wa maanaNg'olo Kante anapona lini hivi wakuu?



