Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Blue is the colour, football is the game ... Sasa naangalia mechi huku nasikiliza lile songi letu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bira VAR imekuja kwahiyo nyie maandazi ingekua enzi hizo ile ndo ishakua penati?

Hahahah na andazi lenu limetolewa.
Hahahaha tulia tuliaaaaaaaa

Je Humuogopi Leo Caputeinnnn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pigs mbuzi nao Burnley.....hahahahaahhaha maisha ni matamu sanaaaaaaaaaa
 
Mambo wanayofanya kovacic na frelo pale kati ni balaa,akirudi na kante si itakuwa hatari kubwa
 
Watu tuna enjoy [emoji23][emoji23][emoji23]
TELEMMGLPICT000214232076_trans_NvBQzQNjv4BqC_LLCXkS_z-CZqgOMP7Bey6NLFRCnp8jC6l5H1gpWZE.jpeg
TELEMMGLPICT000214226380-xxlarge_trans_NvBQzQNjv4Bqq26TX-rkvwwXA2f8oBGFwgxuZ6bdaYvMc3SHalqCmTk.jpeg
 
Bira VAR imekuja kwahiyo nyie maandazi ingekua enzi hizo ile ndo ishakua penati?

Hahahah na andazi lenu limetolewa.
Inatakiwa Pepe na yeye apige hat trick kama Lee Caputeinn ..maana naona tumepigwa pale...
 
Shati lenu halidisappoint....
Hahahaha tulia tuliaaaaaaaa

Je Humuogopi Leo Caputeinnnn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pigs mbuzi nao Burnley.....hahahahaahhaha maisha ni matamu sanaaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom